Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,028
Licha ya kufundisha mambo mengi lkn wanawake hawabadiriki kabisaMama yangu pia yupo busy na tamthilia za kihindi, Mimi sina mzuka nazo hizo.
Napenda tamthilia lkn nachagua sio zote..Kuna ambazo ukianza kuangalia huchomoki. Zinafundisha mambo mengi hamjui tu.
Movies,series za Aina zote nimo.
Kwani mnayofundwa kanisani na msikitini mnayazingatia?Licha ya kufundisha mambo mengi lkn wanawake hawabadiriki kabisa
Hufanya kinyume kabisa na movie zao hizo
Ondoeni sasa huko mnakosema mnajifunza vitu vingi semeni mnaburudikaKwani mnayofundwa kanisani na msikitini mnayazingatia?
Sio yote kwenye tamthilia ni mazuri..siangalii ili na mimi nifanyeje bali ni burudani na kujua watu wengine wapo vipi. Tukiyaiga ya kwenye tamthilia mnatusema pia..
Mazuri yapo Lkn si lazima tuyaige, inawezekana pia wengine wanaiga. Kiufupi Kuna ambayo utayachukua na mengine utayaachaOndoeni sasa huko mnakosema mnajifunza vitu vingi semeni mnaburudika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Safi Sana hata Mimi sizipendiMimi ukinikuta nachek tv ujue ni trace...music...mengine niliacha kama taarifa ya habari...hizo tamthilia mm jaman uwiii..maana zote ni full mapenzi[emoji57]..mm mapenz yananisaidia nn sasa[emoji19][emoji19]
daaah hiyo ni kweli kabisa sio lazima ujifunze kupitia tamthilia😙🤣🤣🤣🤣🤣Kila mmoja afanye kinachomfurahisya.
eti mapenzi yanawasaidia nini🤐🤐🤐🤐Safi Sana hata Mimi sizipendi
Unakuta njemba inafuatilia mwanamke muda mrefu hujui Kama anafanya kazieti mapenzi yanawasaidia nini[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Hahaha wale machizi kumbe unawaangalia?Betty in new York.,,....
Hahaha wale machizi kumbe unawaangalia?
Yaani sikosi hata siku moja! Naipenda sanaaaHahaha wale machizi kumbe unawaangalia?
Yaani sikosi hata siku moja! Naipenda sanaaa
Lol kwanini??Sasa hivi walau tunaweza kupata hata nafasi ya kukusalimia.
Lol kwanini??
Naonaga wife anaingalia sana..ila imeishaYaani sikosi hata siku moja! Naipenda sanaaa
Hahaha woga wako tuZamani nikikusalimia ungejibu halafu una mcc Smart11.
Sasa hapo unaona kama unachongewa.
Sasa hivi bora kidogo.
One of my favorite series... Bado haijaisha kuna characters wabafurahisha acha kabisaNaonaga wife anaingalia sana..ila imeisha