Wanawake na tamthilia

Wanawake na tamthilia

Mama yangu pia yupo busy na tamthilia za kihindi, Mimi sina mzuka nazo hizo.
Napenda tamthilia lkn nachagua sio zote..Kuna ambazo ukianza kuangalia huchomoki. Zinafundisha mambo mengi hamjui tu.
Movies,series za Aina zote nimo.
Licha ya kufundisha mambo mengi lkn wanawake hawabadiriki kabisa

Hufanya kinyume kabisa na movie zao hizo
 
Licha ya kufundisha mambo mengi lkn wanawake hawabadiriki kabisa

Hufanya kinyume kabisa na movie zao hizo
Kwani mnayofundwa kanisani na msikitini mnayazingatia?
Sio yote kwenye tamthilia ni mazuri..siangalii ili na mimi nifanyeje bali ni burudani na kujua watu wengine wapo vipi. Tukiyaiga ya kwenye tamthilia mnatusema pia..
 
Isidingo the need na Gangaa keisha habari yake.
Inabidi tamthiliya kama tausi irudi tena.
 
Kwani mnayofundwa kanisani na msikitini mnayazingatia?
Sio yote kwenye tamthilia ni mazuri..siangalii ili na mimi nifanyeje bali ni burudani na kujua watu wengine wapo vipi. Tukiyaiga ya kwenye tamthilia mnatusema pia..
Ondoeni sasa huko mnakosema mnajifunza vitu vingi semeni mnaburudika

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ondoeni sasa huko mnakosema mnajifunza vitu vingi semeni mnaburudika

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mazuri yapo Lkn si lazima tuyaige, inawezekana pia wengine wanaiga. Kiufupi Kuna ambayo utayachukua na mengine utayaacha
 
Hapa kwenyewe kuna sauti ya kike inagonda hodi nahisi anakuja omba kuangalia tamthiliya
 
Back
Top Bottom