Wanawake na uandishi wa meseji

Wanawake na uandishi wa meseji

Tukikufeel tutaandika na pia kuimba ngonjera.

The opposite applies too.😁😁
 
Tukikufeel tutaandika na pia kuimba ngonjera.

The opposite applies too.[emoji16][emoji16]
Kumbe upendo na hisia za kweli za msichana zinadhihirishwa kwa kuandika message ndefu je kama aliyekupenda hajui kuandika message
 
Mi naandika sana msg kuliko kuongea,, tena niwe naexpress feelings zangu au nimechukia,msg ya watsap utafungua more hata mara tano, na naandika kwa muda mfupi
Embu niandikie niamini.
 
Wewe: Jana nilikuona ulikuwa umependeza sana mrembo, nikajiuliza yule ni mdogo wake mobeto nini😋

Yeye: Thx

Wewe: kwa hiyo vipi sasa kesho utakuja ama tukutane maeneo tugonge vyombo mpaka mida ya wanga.

Yeye: Ww tyu

Wewe: kubabake
 
Swez kabisaaa kuchat, kuongea n sawaah.
Ooh yeah sometimes ni hobby ya MTU Ila nakumbuka class enzi hizo wasichana ndo walikuwa wanamaliza notisi za walimu darasani Ila now days hata Kuandika sms hawawezi[emoji23][emoji23]
 
Ooh yeah sometimes ni hobby ya MTU Ila nakumbuka class enzi hizo wasichana ndo walikuwa wanamaliza notisi za walimu darasani Ila now days hata Kuandika sms hawawezi[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeh san lol
 
Back
Top Bottom