Wanawake na uchungu wakati wa kujifungua

Mechanist

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2015
Posts
724
Reaction score
494
Kwa kawaida wanawake(wamama) huhisi uchungu wakati wa kujifungua. Hii hutokana na uterine contraction inayosababishwa na hormones kama vile oxcytocin ili kusukuma mtoto . Wanawake hudai kuwa wakati wa kujifungua uchungu huwa ni mkali sana. Swali langu ni kwamba; kama uchungu ni mkali mbona hawaogopi/ hamuogopi kuzaa na bado mnaendelea kubeba mimba tena wengine wanazaa/ mnazaa kila mwaka?
 
Kwa sababu ukishajifungua mtoto unasahau unakua na furaha tele baada ya mda tena wanashikwa na hamu ya kuzaa tena. Yani ni Mungu aliwawekea kusahau tukio kama isingekua hivo Hawa asingezaa wala kizazi kuendelea.
 
Mwenye jibu halisi la hili swali mkuu ni Mungu pekee yake! !! Wanadamu tunahisi tu!!!
 
Kwa sababu ukishajifungua mtoto unasahau unakua na furaha tele baada ya mda tena wanashikwa na hamu ya kuzaa tena. Yani ni Mungu aliwawekea kusahau tukio kama isingekua hivo Hawa asingezaa wala kizazi kuendelea.

Well said!!
 
Hakuna maumivu makali kama UCHUNGU,mie nilimuliza Mama ivi ulituzaaje sote kama mtu unaumwa hivi? akanambia utasahau na utazaa tena,nikasema kwa mimi apana sisahau, yani mtoto akisha toka tuu unasahau kwanza kuna kauzingizi unapata baada ya kujifungua yani Subhana Allah sijui ni uchovu na pale unapomuangalia mwanao unasahau kabisaa unahadithia tuu lakini kufikiria unaumaje wala, ndio mana mwenyezi amempa MAMA daraja kubwa kuliko BABA,yani uchungu anauupata mama angepewa baba robo sijui kama angekua hai,yani wanaumme Pendeni sana mama zenu .....
 
Umeuliza swali la kibwege kweli wewe we mbona unaambiwa ngono zembe inaua utapata maambukizi ya ukimwi afu unangonoka tu, kwahiyo ulitaka uzaliwe pekeyako ? Mfyuuuuu
 
Niliangalia mama mmoja anajifungua kule mbeya. Nikashindwa hadi kula siku hiyo
 
Mtoto raha jamani hata iweje siwezi kataa kuzaa labda kama watoto wametosha, pia hufikirii uchungu hadi pale unapokaribia kujifungua hasa pale unapoanza kuhisi uchungu, hapo hofu kidogo lakini lazima ujifungue. Huwezi kushika mimba leo ukaanza kuwaza uchungu hata kama ni uzao wako wa 2 au 3, utafurahi sikuzote, na pale utakapokaribia kujifungua ndo utaanza kuwaza juu ya uchungu, na mara ukijifungua unakata pale pale.
 
Kwa kawaida wanawake(wamama) huhisi uchungu wakati wa kujifungua. Hii hutokana na uterine contraction inayosababishwa na hormones kama vile oxcytocin ili kusukuma mtoto . Wanawake hudai kuwa wakati wa kujifungua uchungu huwa ni mkali sana. Swali langu ni kwamba; kama uchungu ni mkali mbona hawaogopi/ hamuogopi kuzaa na bado mnaendelea kubeba mimba tena wengine wanazaa/ mnazaa kila mwaka?
hatuogopi kwa kuwa kunakitu MUNGU ameweka kwa kila binaa kinaitwa kusahau
 
nsha zaa... siogop kuzaa!! uchungu unauma sana hauna maelezo... lkn hapa nlpo nataman kupata 2nd baby na sku ya kuzaa nliapa viapo vyoooote uvijuavyo kya stozaa maisha yng
 
Kwa kawaida wanawake(wamama) huhisi uchungu wakati wa kujifungua. Hii hutokana na uterine contraction inayosababishwa na hormones kama vile oxcytocin ili kusukuma mtoto . Wanawake hudai kuwa wakati wa kujifungua uchungu huwa ni mkali sana. Swali langu ni kwamba; kama uchungu ni mkali mbona hawaogopi/ hamuogopi kuzaa na bado mnaendelea kubeba mimba tena wengine wanazaa/ mnazaa kila mwaka?
Njunji Raha yake yasaulisha maumivu ya uchungu wa leba
 
Hakuna maumivu makali kama UCHUNGU,mie nilimuliza Mama ivi ulituzaaje sote kama mtu unaumwa hivi? akanambia utasahau na utazaa tena,nikasema kwa mimi apana sisahau, yani mtoto akisha toka tuu unasahau kwanza kuna kauzingizi unapata baada ya kujifungua yani Subhana Allah sijui ni uchovu na pale unapomuangalia mwanao unasahau kabisaa unahadithia tuu lakini kufikiria unaumaje wala, ndio mana mwenyezi amempa MAMA daraja kubwa kuliko BABA,yani uchungu anauupata mama angepewa baba robo sijui kama angekua hai,yani wanaumme Pendeni sana mama zenu .....
Hadithi hii ni nzuri
 
Back
Top Bottom