Mechanist
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 724
- 494
Kwa kawaida wanawake(wamama) huhisi uchungu wakati wa kujifungua. Hii hutokana na uterine contraction inayosababishwa na hormones kama vile oxcytocin ili kusukuma mtoto . Wanawake hudai kuwa wakati wa kujifungua uchungu huwa ni mkali sana. Swali langu ni kwamba; kama uchungu ni mkali mbona hawaogopi/ hamuogopi kuzaa na bado mnaendelea kubeba mimba tena wengine wanazaa/ mnazaa kila mwaka?