Kwa kawaida wanawake(wamama) huhisi uchungu wakati wa kujifungua. Hii hutokana na uterine contraction inayosababishwa na hormones kama vile oxcytocin ili kusukuma mtoto . Wanawake hudai kuwa wakati wa kujifungua uchungu huwa ni mkali sana. Swali langu ni kwamba; kama uchungu ni mkali mbona hawaogopi/ hamuogopi kuzaa na bado mnaendelea kubeba mimba tena wengine wanazaa/ mnazaa kila mwaka?
Kwa sababu ukishajifungua mtoto unasahau unakua na furaha tele baada ya mda tena wanashikwa na hamu ya kuzaa tena. Yani ni Mungu aliwawekea kusahau tukio kama isingekua hivo Hawa asingezaa wala kizazi kuendelea.
hatuogopi kwa kuwa kunakitu MUNGU ameweka kwa kila binaa kinaitwa kusahauKwa kawaida wanawake(wamama) huhisi uchungu wakati wa kujifungua. Hii hutokana na uterine contraction inayosababishwa na hormones kama vile oxcytocin ili kusukuma mtoto . Wanawake hudai kuwa wakati wa kujifungua uchungu huwa ni mkali sana. Swali langu ni kwamba; kama uchungu ni mkali mbona hawaogopi/ hamuogopi kuzaa na bado mnaendelea kubeba mimba tena wengine wanazaa/ mnazaa kila mwaka?
Uliingiaje wodini????Niliangalia mama mmoja anajifungua kule mbeya. Nikashindwa hadi kula siku hiyo
Njunji Raha yake yasaulisha maumivu ya uchungu wa lebaKwa kawaida wanawake(wamama) huhisi uchungu wakati wa kujifungua. Hii hutokana na uterine contraction inayosababishwa na hormones kama vile oxcytocin ili kusukuma mtoto . Wanawake hudai kuwa wakati wa kujifungua uchungu huwa ni mkali sana. Swali langu ni kwamba; kama uchungu ni mkali mbona hawaogopi/ hamuogopi kuzaa na bado mnaendelea kubeba mimba tena wengine wanazaa/ mnazaa kila mwaka?
Alikuzalisha mkunga wa kilinge cha mshana jr?nsha zaa... siogop kuzaa!! uchungu unauma sana hauna maelezo... lkn hapa nlpo nataman kupata 2nd baby na sku ya kuzaa nliapa viapo vyoooote uvijuavyo kya stozaa maisha yng
Hadithi hii ni nzuriHakuna maumivu makali kama UCHUNGU,mie nilimuliza Mama ivi ulituzaaje sote kama mtu unaumwa hivi? akanambia utasahau na utazaa tena,nikasema kwa mimi apana sisahau, yani mtoto akisha toka tuu unasahau kwanza kuna kauzingizi unapata baada ya kujifungua yani Subhana Allah sijui ni uchovu na pale unapomuangalia mwanao unasahau kabisaa unahadithia tuu lakini kufikiria unaumaje wala, ndio mana mwenyezi amempa MAMA daraja kubwa kuliko BABA,yani uchungu anauupata mama angepewa baba robo sijui kama angekua hai,yani wanaumme Pendeni sana mama zenu .....
PointUmeuliza swali la kibwege kweli wewe we mbona unaambiwa ngono zembe inaua utapata maambukizi ya ukimwi afu unangonoka tu, kwahiyo ulitaka uzaliwe pekeyako ? Mfyuuuuu