Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari!
Leo nimekutana na jambo la kushangaza na kusikitisha sana.
Kasumba ya wanawake kuwa walevi kupita kiasi hadi jamii tunaanza kushangaa na kupigwa na butwaa!
Nilikuwa maeneo kama unavyojua siku moja moja hata kama si watumiaji wa alcohol basi huwa tunapenda kukaa mahali na kupata upepo.
Wanawake hawa walikuwa kama gambe basi ilikuwa imefika hadi kwenye unyayo.
Kitu ambacho si cha uungwana kwa hawa viumbe niliokutana nao ni swala la kuona kabisa 'frequency' zimehama baada ya kupiga gambe.
Kama ni kelele basi ni kelele, matusi si matusi, yaani ni vurugu tupu na imani mnafahamu vurugu za walevi wanaume sasa ilikuwa ni wanawake wazuri kabisa.
Ushauri kwa wanawake wenye tabia za ulevi
✓ Kama umeamua kupombeka kupita kiasi basi fanya haya chukua gambe ya kutosha weka ndani home piga gambe hali useme basi ila sio kwenye public na kutia aibu hivi.
Nimeshuhudia mambo ya hovyo sana leo na ya aibu kwa hawa walevi ila punguzeni kutumia pombe kupita kiasi.