Nihifadhi Abdulla
New Member
- Jan 31, 2025
- 1
- 0
Katika kuhakikisha mwanamke hapati vikwazo Kuna sheria ya uchaguzi inavyomlinda mwanamke sheria ya uchaguzi ya Zanzibar no. 4 ya mwaka 2018 na sera ya jinsia na ushirikishwaji wa jamii ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar iliyoanzishwa mwaka 2015.
Je, uwepo wa Sera na Sheria hii utatoa mwanya kwa wanawake kufikia usawa wa 50/50 kwenye uongozi?
Je, uwepo wa Sera na Sheria hii utatoa mwanya kwa wanawake kufikia usawa wa 50/50 kwenye uongozi?