Wanawake na UREMBO WA NYWELE.....!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,421


1.



2



3



4



5



6



7



8



9



10. Huu unaitwa INAHUU



11. Huu mtindo nimemabiwa eti unaitwa utajiju



12



13. Nimeambiwa kwamba huu mtindo unaitwa staki mashauzi



14
 
Style nzuri ila sasa mi mvivu kweli wa kusuka.
Nimependa kadhaa hapo.
 
Namba 8 ni NOOOOOO. Kisa cha kuingia kichaa nikichana?
 
mmh sasa mim kituko kilichopo huku kichwan ni hatar hatar tupu
 
Mie napenda hiyo ya rihanna na halle berry natamaniii nikate hadi ziwe size hiyo ila mekatazwa lol..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
huwa yananuka manywele ya mademu wa kibongo..!
 
Wanawake wazuri nywele hadi sura na wale wa avatar pakue hizi picha mzitumie sasa
 
Mwaya sio mirija. Hii ni natural. Kichaa pale pale. Cheki hizo ends ----mae. Nafyeka zote.

Basi nimetazamia kengeza, hv mirija haikati nywele??

Natural labda ziwe zile za asili ya singa ila hizi nyingine kuchana machozi yanatoka
 
Mie napenda hiyo ya rihanna na halle berry natamaniii nikate hadi ziwe size hiyo ila mekatazwa lol..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

kuuliza sio ujinga eti Rihanna ndo yupi namsikia tu redioni.......
 
Watudanganya,umependa hayo macho

Ukisikia ukorofi ndiyo huu ha ha haaaaa!! Mi nimesema nimependa nywele wewe unaniambia nimependa macho!! Hebu ngoja nimwangalie tena na tena nitajua tu kati ya nywele na macho kipi zaidi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…