Wanawake na Uume Mdogo

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,988
Reaction score
4,152
Naomba tujadili hili wadau, napenda zaidi comment zitoke kwa wanawake. Limekuwepo suala la wanaume kutojiamini kwa kuwa na uume mdogo, je wanawake mnasemaje, mnapenda uume wa aina gani hasa, uume mkubwa, wastani au mdogo au yote sawa. Maana mtaani kila sehemu kuna waganga wanaodai kuwa na uwezo wa kuongeza ukubwa.
 
Kwa akili ya kawaida tu !! Kila kiatu kina mguu wake!! Huwezi nambia kiatu saiz ya mtoto kitahitaji guu LA MTU mzima!! Ongeza na zako!!
 
Mbona hujauliza eanh. Sisi tunapendaga IPI ,maana Nazo zipo kama zilivyo ndogo size ya kati, kubwa na kuuubwaaa kabisa
 
Kwa akili ya kawaida tu !! Kila kiatu kina mguu wake!! Huwezi nambia kiatu saiz ya mtoto kitahitaji guu LA MTU mzima!! Ongeza na zako!!

Sawa kabisa, nakuunga mkono % zote. Ukimuona mwanamama anataka nchi 12 urefu na halafu iwe nene, ujue na yeye Mungu alimpa KISIMA CHA MJERUMANI, sasa ndogo kwake inakuwa mswaki tu.
Wapo wanawake wanaozikimbia ndoa, kisa tu mume ana Propela Shaft si size yake, lakini yeye akikimbia tu, wenye size zao wanamdaka juu Kwa juu.
Hapo tena muamala unakuwa umekamilika. Haya mambo wala hayahitaji kuumiza kichwa, ukiwa na akili za kuvukia Bara bara tu unapata jibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…