sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,988
- 4,152
Naomba tujadili hili wadau, napenda zaidi comment zitoke kwa wanawake. Limekuwepo suala la wanaume kutojiamini kwa kuwa na uume mdogo, je wanawake mnasemaje, mnapenda uume wa aina gani hasa, uume mkubwa, wastani au mdogo au yote sawa. Maana mtaani kila sehemu kuna waganga wanaodai kuwa na uwezo wa kuongeza ukubwa.