Kutokana na ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani amesema Kampunu ya IRVINE itawekeza Tsh Bilioni 74.8 kwenye ufugaji wa kuku nchini
Uwekezaji huu utawezesha kuhakikishwa kwa Usalama wa Chakula, kuongeza upatikanaji wa uhakika wa Kuku bora katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, pamoja na kutengeneza fursa ya kipato kwa maelfu ya wafugaji wa Kitanzania, wengi wao wakiwa ni Wanawake na Vijana
Lakini pia kutakuwa na uzalishaji mkubwa wa vifaranga pamoja na kuanzisha Kiwanda cha kuzalisha chakula cha Mifugo. Shughuli hizi zitafanyika kwa kutumia Teknolojia ya kisasa pamoja na Wafanyakazi wenye ujuzi, Wanasayansi wa Mifugo, Wataalamu wa Lishe, Madaktari wa Mifugo, Wataalamu wa Maabara na Wafanyakazi wa kada nyingine za Kitaalamu.
Watanzani atunasema hongera sana Rais Samia Suluhu kwa kumarisha diplomasia ya uchumi pamoja na kurekebisha sera ya uwekezaji nchini