Wanawake na wasichana jengeni utaratibu wa kutembea na kanga au mtandio

Wanawake na wasichana jengeni utaratibu wa kutembea na kanga au mtandio

Joined
May 4, 2017
Posts
57
Reaction score
63
Habari zenu,

Naomba niseme na mabinti wenzangu hata pia baadhi ya wamama wamejisahau. Hivi unawezaje kutoa mguu kwenu(kwako) ukiwa mikono mikaaaaavu?

Binti unatoka huna khanga/mtandio khaaaa!!! Vikikuharibikia huko njiani ghafla utatembeaje?

Tuacheni maisha ya kuigaiga jamani, tunazid kuharibu kizazi kijacho. Ewe mama sema na mwanao na mabinti halikadhalika tubadilikeni hakikisha pochi yako haikosi khanga na taulo ya kike walau moja.
 
Habar zenu
Naomba niseme na mabinti wenzangu hata pia baadhi ya wamama wamejisahau

Hiv unawezaje kutoa mguu kwenu (kwako) ukiwa mikono mikaaaaavu
Binti unatoka huna khanga/mtandio khaaaa!!!
Vikikuharibikia huko njiani ghafla utatembeaje?
Tuacheni maisha ya kuigaiga jamn tunazid kuharibu kizazi kijacho
Ewe mama sema na mwanao na mabinti halikadhalika tubadilikeni hakikisha pochi yako haikosi khanga na Dipe walau kamoja
Mara PAAAAH!
Sijui watafanyaje mbele za watu!
 
Hua wanakimbilia maghetoni kwa boys wao huko hua wanaacha khanga zao
 
Back
Top Bottom