Wanawake na wasichana jengeni utaratibu wa kutembea na kanga au mtandio

Kwani wanaume hawawezi kuharibikiwa? Wao watembee na nini? Mana km huna mimba umemaliza mp wiki imepita hutarajii karibuni,,,hakuna utifauti na mwanaume, au vya kuharibika vinaharibikiaga wanawake tu,,,mi nishashuhudia mbaba suruali imetatuka nyuma,,
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kiukweli asante kwakutukumbusha Mimi nilikuwa nafanya hivyo nimejikuta nimekuwa mvivu
 
Back
Top Bottom