Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Mmh ngoja nijichange nikupe ukanunue MamaSina hela my son
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unakimbia vizuri nimependa mbio zako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwani wanaume hawawezi kuharibikiwa? Wao watembee na nini? Mana km huna mimba umemaliza mp wiki imepita hutarajii karibuni,,,hakuna utifauti na mwanaume, au vya kuharibika vinaharibikiaga wanawake tu,,,mi nishashuhudia mbaba suruali imetatuka nyuma,,
Unataka picha ya mtandio?Uzi bila picha