Wanawake nani kawaambia mnapendeza kuvaa saa za kiume?

Wanawake nani kawaambia mnapendeza kuvaa saa za kiume?

Hawa ndio wanapendeza?

5c4cb6af21d5405bc17c7c1b0fec7fcc.jpg
hili jamaa linaumwa amoeba si bure
 
Mbona zipo saa ambazo wana vaa wanawake na wanamume unisex mie binafsi sipendi saa zenye round nduchu isifanane kama yakuime round kubwa lakini sipendi ndogo...
 
Imeandikwa wapi kuwa kuna saa za kike na za kiume ?Toa ufafanuzi tafadhali sana.
 
"mnakula kunywa na kuvaa siku zinaendaa..... Wanaume kama mabinti"
 
Mimi Binafsi napenda na huwa nasimamisha sana dushe pale nimuonapo mpenz wangu kavaa nguo zangu,hata kwa kutest tu kiutani utani.

Mfano: Unakuta dem kaja gheto halafu anatest vest yangu huku boobs zake zikiwa out...au anavaa boxer yangu siku nzima.

INAVUTIA KWAKWELI.
Akishaivaa siku nzima na wewe huivaa tena?
 
Daah Saa Zetu Zinawapendeza Sana kina Dada,Usithubutu kukutana na Binti kapigilia Silver Moja kali ya Kiumeni ya Mia kama Tatu mpka Tano hivi,chini ana Simple ya utiki akiwa ndan ya jeans OG na Top,Tshirt or Blouze flan amaizing halafu awe Mashaalah,Balaaa..Lazima Ugeuke ucheki Yaliyomo!
 
Hehehe.. Kwa maisha ya sasa kama huyo Dada hajakopa hivo vitu, basi kageuzwa upande B
 
Back
Top Bottom