Wanawake nani kawaambia mnapendeza kuvaa saa za kiume?

Mie sioni tatizo sio saa zote kubwa ni za kiume
 
Mbona zipo saa ambazo wana vaa wanawake na wanamume unisex mie binafsi sipendi saa zenye round nduchu isifanane kama yakuime round kubwa lakini sipendi ndogo...
 
Imeandikwa wapi kuwa kuna saa za kike na za kiume ?Toa ufafanuzi tafadhali sana.
 
"mnakula kunywa na kuvaa siku zinaendaa..... Wanaume kama mabinti"
 
Akishaivaa siku nzima na wewe huivaa tena?
 
Daah Saa Zetu Zinawapendeza Sana kina Dada,Usithubutu kukutana na Binti kapigilia Silver Moja kali ya Kiumeni ya Mia kama Tatu mpka Tano hivi,chini ana Simple ya utiki akiwa ndan ya jeans OG na Top,Tshirt or Blouze flan amaizing halafu awe Mashaalah,Balaaa..Lazima Ugeuke ucheki Yaliyomo!
 
Hehehe.. Kwa maisha ya sasa kama huyo Dada hajakopa hivo vitu, basi kageuzwa upande B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…