Wanawake ndio sababu ya vijana kupenda kulelewa na Mashangazi

Hii wiki lazima unyooke mtoto uso na haya🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Kwanini mnatuonea hvi kwa mada zenu za ajabu ajbu...
Lawama za nini wakati mungu ashatubaliki sasa
 
Mna laana nyie!
 
Hi

Ninyi wanawake ndio sababu ya vijana kupenda kulelewa na mashangazi.

Mtoto wa kike unapata wapi ujasiri wa kumlea mwanaume wakati wewe umeeumbwa kutunzwa na mwanaume kaaumbiwa kutafuta pesa atunze familia

Matokeo yake ndio haya watoto wadogo wanaangaika na vikongwe uku kisa kufwata uwepesi wa maisha

Sikuizi hakuna mwanamke wakukuchangamsha akili za wanaume au mwanaume atafute pesa kwa uchungu matokeo yake mwanamke ana pesa anakaz ya kununua vijana vya form six kuwafungia ndani mtai hasira nachukia mwanamke wa kuhonga wanaume ili apendwe kupendendwa ni nature kama hakupendi ata ummpe pesa hakupendi tu

Mwanamke kabisa unatafuta pesa unaonga kitoto cha 2000 mnatuaharibia vijana mmekuwa vibaka

Kuna familia moja niliipenda sana nilisoma sms kwenye sm ya mshikaji alinipa ruhusa lakini niijibu sms ila kihelele changu tu kusoma sms za juu

Nikaona mwanamke kamwambia mume atafute milion 7 yeye anatafuta 5 mwezi ujao wafungue duka la vinywaji alinishawishi sana mpaka natamani nipate mwanamke ambae amechangamka kiakili kama huyu
Yan ww hujui kuwa ni jukumu lako kupambana mpaka umpate wa kukumotivate upambane!!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukikua utaelewa sa hivi naona bado !
 
Nimesema baafhi ya vijana
 
Huu uzi mbona km unajisimanga mwenyewe mdogo wangu Mwachi 😹😹😹
 
Hi

Ninyi wanawake ndio sababu ya vijana kupenda kulelewa na mashangazi.

Mtoto wa kike unapata wapi ujasiri wa kumlea mwanaume wakati wewe umeeumbwa kutunzwa na mwanaume kaaumbiwa kutafuta pesa atunze familia

Matokeo yake ndio haya watoto wadogo wanaangaika na vikongwe uku kisa kufwata uwepesi wa maisha

Sikuizi hakuna mwanamke wakukuchangamsha akili za wanaume au mwanaume atafute pesa kwa uchungu matokeo yake mwanamke ana pesa anakaz ya kununua vijana vya form six kuwafungia ndani mtai hasira nachukia mwanamke wa kuhonga wanaume ili apendwe kupendendwa ni nature kama hakupendi ata ummpe pesa hakupendi tu

Mwanamke kabisa unatafuta pesa unaonga kitoto cha 2000 mnatuaharibia vijana mmekuwa vibaka

Kuna familia moja niliipenda sana nilisoma sms kwenye sm ya mshikaji alinipa ruhusa lakini niijibu sms ila kihelele changu tu kusoma sms za juu

Nikaona mwanamke kamwambia mume atafute milion 7 yeye anatafuta 5 mwezi ujao wafungue duka la vinywaji alinishawishi sana mpaka natamani nipate mwanamke ambae amechangamka kiakili kama huyu
Mishangazi tunajua kudekeza kitandani hadi mzee anaweza asilale ovyo, unapewa kila kitu hakuna cha kubakisha hadi ushibe mwenyewe
 
Kwani kuna shida gani tukiwaachia wazee vibinti wa buku be na sisi tukalelewa na mishangazi, kwani hujui kula hela ya mwanamke ni raha?

Nb. Itakua mishangazi inakutosa kaoshe nyota mkuu
 
Back
Top Bottom