Uchaguzi huu ccm wasiuchezee kabisa watajikuta kwenye mitaro ya maji machafu kama Gadafi.
Keshazeeeeka hana jipya asiwaingize Mabinti kwenye ujingaaa tunawahitaji bado VigoliHuyu mwanamama ametoa kauli kali sana na ya kishujaa juu ya mustakabali wa uchaguzi wa Zanzibar na Tanzania bara. Aghalabu ni nadra sana kwa wanaume wa Tanzania kujitokeza wazi wazi na kutoa kauli kama hizo.
Naona miaka hii ya 2000 wanawake ndiyo watakuwa viongozi wa mapinduzi dhidi ya tawala za kidekiteta. Haya yameonekana Sudan wakati wa kumtoa Dikteta Omar Bashir mwaka jana ambapo Bi Aala Salah mwenye umri wa miaka 22 ndiye alikuwa chachu ya maandamano.
Naona Zanzibar wameenda kuangalia majina yao vituoni kama yapo lakini huku Bara sijasikia kama mmeangalia majina yenu vituoni.
We we na mama ako mchagueni Mimi namchagua mnae mnyanyasa kila siku nampa lisu kura yanguSisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Awe Mzanzibari au siyo Mzanzibari siyo hoja. Hoja ya muhimu ni ukweli wa matamshi yake na tashwishiHuyo takataka siyo Mzanzibari, Mzanzibari hana lafudhi nzito hivyo, ...
Hawa madogo wakishaangalia aj jazeera na CNN wanadhani wanayoyaona huko ni rahisi kutokea hapa kwetu.Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Tundu Lissu amewakamata hasa maana hata mbinu za kuiba kura zote wanazotegemea zimegundulika na wananchi WATALINDA kura zao baada ya kupigaWe we na mama ako mchagueni Mimi namchagua mnae mnyanyasa kila siku nampa lisu kura yangu