Wanawake ndiyo watatuletea mabadiliko? Msikie huyu Mwanamama wa Zanzibar

Wanawake ndiyo watatuletea mabadiliko? Msikie huyu Mwanamama wa Zanzibar

Hawa madogo wakishaangalia aj jazeera na CNN wanadhani wanayoyaona huko ni rahisi kutokea hapa kwetu.
Wacha kudharau vyombo vya habari vya kimataifa ukadhani nyie WASUKUMA mtazuia mabadiliko ambayo Watanzania tunayataka kwa ajili ya kumuondoa MSUKUMA mwenzenu DIKTETA

Atatoka tu kwa NGUVU ya UMMA hata achapishe kura FAKE.
 
Tundu Lissu amewakamata hasa maana hata mbinu za kuiba kura zote wanazotegemea zimehindulika ba wananchi WATALINDA kura zao baada ya kupiga
Sitaki masihala kwenye kura yangu hiyo siku nitalinda kura yangu na nitakua nimejiandaa vyema kwajili ya ulinzi wa haki yangu
 
Hakijatokea chama cha kuishinda Ccm

Hasa hawa Chadema wanaotumwa na Mabeberu ndio watajuta
Nani unaowaita mabeberu? Hawa unaowakopa fedha za miradi ya barabara kila siku? Hawa wanaokuletea bure dawa za UKIMWI?
 
Wacha kudharau vyombo vya habari vya kimataifa ukadhani nyie WASUKUMA mtazuia mabadiliko ambayo Watanzania tunayataka kwa ajili ya kumuondoa MSUKUMA mwenzenu DIKTETA

Atatoka tu kwa NGUVU ya UMMA hata achapishe kura FAKE.
Mwambie atizame nguvu ya uma Nigeria ndio ataelewa
 
Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania na October tutampigia kura nyingi aongoze miaka mingi zaidi
wacha kumsimanga magufuli anawajua nyote mliomzamisha ila ndo hana la kuwafanya kwani uraisi wake ndio umefikia kikomo,ila akiokota mtajuta akina polepole bashiru wote atawafukuzilia mbali wanaenda kumletea wasanii baada ya kuwmleea watu wanaojua kuzungumzia sra ,mmemalizi muda wake kwa bolingo
 
Kura za thamani zipo Ccm

Kumpigia kura msaliti wa Nchi unapoteza kura yako
Nani kakuamia CCM watampigia Mahuguli kura? Aliyenyang'anya khama mkononi mwao na kukifanya kama familia yake? Hata CCM kwa taarifa yako HAWAMTAKI
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu

CCM kwenye sanduku la kura haiwezi kupata zaidi ya 35%. Labda kwa hizo mbinu za kuiba zinazosimamiwa na TISS na NEC
 
Znz ndio kidogo kuna Mtihani

Huku bara hakuna wa kuitikisa Ccm hata wengine tumeamua tusiende kupiga kura
 
Hakuna Mtanzania atampigia kura msaliti wa Nchi Lissu

Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania atashinda kwa 98%
CCM kwenye sanduku la kura haiwezi kupata zaidi ya 35%. Labda kwa hizo mbinu za kuiba zinazosimamiwa na TISS na NEC
 
Znz ndio kidogo kuna Mtihani

Huku bara hakuna wa kuitikisa Ccm hata wengine tumeamua tusiende kupiga kura
Huku Taznania bara Magufuli hapati hata 35% na akiiba tunaingia mtaani na tumamtoa kwa NGUVU ya UMMA
 
Hata kwa Tanzania naona wanawake wanajiamini sana na wanahamasisha mabadiliko. Wanawake kama Fatma Karume, Maria Sarungi, Yosephar Komba na Mwenyekiti wa Chadema wa Chato ni moto sana.
Kushabikia chadema ndio kuhamasisha mabadiliko,ndio maana Lissu alisema Chadema na Cuf tu ndio vyama vya upinzani.
 
Wacha kudharau vyombo vya habari vya kimataifa ukadhani nyie WASUKUMA mtazuia mabadiliko ambayo Watanzania tunayataka kwa ajili ya kumuondoa MSUKUMA mwenzenu DIKTETA

Atatoka tu kwa NGUVU ya UMMA hata achapishe kura FAKE.
Atatoka 2025 muda wake ukifika hawezi toka kwa dua lako la kuku humu jukwaani.
 
Back
Top Bottom