Wanawake ndo chanzo kikubwa cha wanaume zetu kufanya mapenzi nje. Sababu wanawake wengi wanajifanya hawapendi kufanya mapenzi kitu ambacho si kweli. Wanawake wanapenda sana kufanya mapenzi ila wanaogopa kuonyesha wanaume zao eti wataitwa malaya. Huo ni ujinga mtupu kuleni kitu roho inapenda.
Mimi binafsi na admit kwamba napenda sex na mpenzi wangu analijua hilo hivyo na wenzangu muwe wakweli pia. Msilete mambo ya siyo wanawake wote wanapenda NI KWAMBA WOTE TUNAPENDA SEX. Wewe unae andika comment yako sasa fikiria kwanza huja andika.
Kweli sisi wenyewe ndio tunaosababisha ila kumtuliza mwanaume kunahitaji zaidi yakuzipeleka kitandani!Ongeza kumjali..kumpenda kwa maneno na matendo..kumheshimu..kumbembeleza..kumsifia..kumfanya ajihisi yeye ndo yeye kwako..kumpa moyo anapoonyesha kushindwa au kukata tamaa..na mengineyo!
mtoa sredi mjanja sana . . . . ha ha ha ha ha
kawatimua watu fulani wasi-comment hapa
sio sex tu ndugu yangu kuna wengine hapa utawasikia wanadai SINA MPANGO KABISA NA WANAUME KTK MAISHA YANGU lakin fuatilia utekelezaji wa maneno yake ujionee tofauti

You are stupid....una ushabiki wa kipumbavu na wa kishamba.....grow up!!!
Acha ujinga wa kutulazimisha wote kukubaliana na wewe......na unaposema tuwe wakweli alikuambia nani hapa watu wanadanganya?ili iweje?tuko sokoni hapa kwamba tunafanya marketing??
Kwa mtu usiye fanya analysis unaweza ona mwanamke ndo chanzo kikubwa cha wanaume kutoka nje,hakuna jibu moja la kwanini mwanaume anatoka nje,wapo wanawake wanafanya kila linalowezekana na wanaume wao wanatoka nje....kutoka au kubaki ndani ya ndoa ni decision ya mwanaume mwenyewe kwa asilimia kubwa.......dunia hii ya leo ina vishawishi vya ajabu,ina nguvu za giza,ina kuporomoka kwa maadili na kushuka kwa hofu ya Mungu,kuna wanaume kutoka nje ya ndoa ndo kuonyesha urijali wake au ndo tabia ambayo hata kwa baba yake amerithi,na wengine ni kitu cha kujivunia,wengine wameoa watu wasiowapenda,wengine haridhiki na hawezi lala na mwanamke mmoja kila siku...the list goes on and on....
Kwenye suala la wanawake kutokupenda sex,wapo wengi tu wala si wachache.....kuna watu hawapendi sex kutokana na maumbile yao na maumivu wayapatayo after sex,kuna waliobakwa ambao hawana hamu na wanaishi kwa hofu hata ya kukutana na mwanaume,kuna waliokuwa katika mahusiano mabaya wameshindwa kusamehe na kusahau na wanaona sex kama utumwa fulani,kuna wasiopata raha wakati wa sex na hawaoni kwanini wafanye,the list goes on and on......
Kupenda kwako mapenzi na kumwambia mwanamme wako na kubinjuka kama utaona ufalme wa mbingu ukifanya hivyo haimfanyi mwanaume abaki kuwa wako....at the end anaweza tamani nje na akatoka.....yeye ni binadamu independent na mwili wake hata kama kaoa...
I hate generalisations......na usiwe unasema tuache ujinga tule kitu roho inapenda...kitu roho inapenda kwako si lazima roho yangu iwe inapenda.....na tuko tofauti huku duniani na tumekutana na mambo tofauti kuwa tulivyo.....ukileta mada we iweke but kugeneralise ni ujinga wa hali ya juu.
You always use " generalise" as defensive mechanism. why dont you just put your own comments as what is your stand?
yaani ukiwa unarud unambie nije airpot nikupokee na matarumbeta jaman ...UMEONA ENNHH?uyu mtoa mada anajifanya BALOZ WA WANAWAKE wote dunian..ajui anachokipenda yeye mimi sikipend kwa sababu kadha wa kadhaAcha ujinga wa kutulazimisha wote kukubaliana na wewe......na unaposema tuwe wakweli alikuambia nani hapa watu wanadanganya?ili iweje?tuko sokoni hapa kwamba tunafanya marketing??
Kwa mtu usiye fanya analysis unaweza ona mwanamke ndo chanzo kikubwa cha wanaume kutoka nje,hakuna jibu moja la kwanini mwanaume anatoka nje,wapo wanawake wanafanya kila linalowezekana na wanaume wao wanatoka nje....kutoka au kubaki ndani ya ndoa ni decision ya mwanaume mwenyewe kwa asilimia kubwa.......dunia hii ya leo ina vishawishi vya ajabu,ina nguvu za giza,ina kuporomoka kwa maadili na kushuka kwa hofu ya Mungu,kuna wanaume kutoka nje ya ndoa ndo kuonyesha urijali wake au ndo tabia ambayo hata kwa baba yake amerithi,na wengine ni kitu cha kujivunia,wengine wameoa watu wasiowapenda,wengine haridhiki na hawezi lala na mwanamke mmoja kila siku...the list goes on and on....
Kwenye suala la wanawake kutokupenda sex,wapo wengi tu wala si wachache.....kuna watu hawapendi sex kutokana na maumbile yao na maumivu wayapatayo after sex,kuna waliobakwa ambao hawana hamu na wanaishi kwa hofu hata ya kukutana na mwanaume,kuna waliokuwa katika mahusiano mabaya wameshindwa kusamehe na kusahau na wanaona sex kama utumwa fulani,kuna wasiopata raha wakati wa sex na hawaoni kwanini wafanye,the list goes on and on......
Kupenda kwako mapenzi na kumwambia mwanamme wako na kubinjuka kama utaona ufalme wa mbingu ukifanya hivyo haimfanyi mwanaume abaki kuwa wako....at the end anaweza tamani nje na akatoka.....yeye ni binadamu independent na mwili wake hata kama kaoa...
I hate generalisations......na usiwe unasema tuache ujinga tule kitu roho inapenda...kitu roho inapenda kwako si lazima roho yangu iwe inapenda.....na tuko tofauti huku duniani na tumekutana na mambo tofauti kuwa tulivyo.....ukileta mada we iweke but kugeneralise ni ujinga wa hali ya juu.
You are stupid....una ushabiki wa kipumbavu na wa kishamba.....grow up!!!
yaani ukiwa unarud unambie nije airpot nikupokee na matarumbeta jaman ...UMEONA ENNHH?uyu mtoa mada anajifanya BALOZ WA WANAWAKE wote dunian..ajui anachokipenda yeye mimi sikipend kwa sababu kadha wa kadha
mada yake apana...ajui kwa nini john anatoka nje ...ajui kwa nini asha apend sex daily ..HAJAJISHUGULISHA KUTAFUTA SABABU AMBAZO M SURE ATA ANGEFANYA RESEARCH IYO MIAKA KENDA ASINGEPATA JIBU ...ndio akaamua kuja na conclusion zake kwa data alizopata saloon
generalization mabaya jaman msiwe mnakusanya tu
ur colour isnt my colur comm on gal..
Nimeipenda sana sana hii wakipatikana wanawake wakweli kama wewe nzuli sana wambie wenzio bwana eti wakati wakitongozana kabla hawajawekana ndani alikua hodari akiwekwa ndani 2 wanabweteka.ila sisi wanawake kuna ambao wanajifanya hawapendi sex kumbe ndo makahaba, utaona tu wata comment labda leo waogope.
msamehe sweetie
leo umekuwa mkali...unakumbuka ya kwenye PM?
bas mama achana nao ..pole
wknd niaje pande io?
njooo PM darling
Hawapendeki hawa, wanatamaa sana.
Kunawanawake wanawaheshm waume zao na kuwajali sana. Lakini bado hawa wanaume wanachovya chovya huko nje.
Hii ni tabia tu ya mtu.
Mwanamke pia ni binadam mwenye hisia na anapenda pia kuheshimiwa.
Si dhani kama huyu mwanaume hamweshmu mke wake ategemee yeye tu kuheshmiwa na kupewa mambo mazuri.
Miye naamini kuwa mapenzi kunoga ni give and take ..