Acha ujinga wa kutulazimisha wote kukubaliana na wewe......na unaposema tuwe wakweli alikuambia nani hapa watu wanadanganya?ili iweje?tuko sokoni hapa kwamba tunafanya marketing??
Kwa mtu usiye fanya analysis unaweza ona mwanamke ndo chanzo kikubwa cha wanaume kutoka nje,hakuna jibu moja la kwanini mwanaume anatoka nje,wapo wanawake wanafanya kila linalowezekana na wanaume wao wanatoka nje....kutoka au kubaki ndani ya ndoa ni decision ya mwanaume mwenyewe kwa asilimia kubwa.......dunia hii ya leo ina vishawishi vya ajabu,ina nguvu za giza,ina kuporomoka kwa maadili na kushuka kwa hofu ya Mungu,kuna wanaume kutoka nje ya ndoa ndo kuonyesha urijali wake au ndo tabia ambayo hata kwa baba yake amerithi,na wengine ni kitu cha kujivunia,wengine wameoa watu wasiowapenda,wengine haridhiki na hawezi lala na mwanamke mmoja kila siku...the list goes on and on....
Kwenye suala la wanawake kutokupenda sex,wapo wengi tu wala si wachache.....kuna watu hawapendi sex kutokana na maumbile yao na maumivu wayapatayo after sex,kuna waliobakwa ambao hawana hamu na wanaishi kwa hofu hata ya kukutana na mwanaume,kuna waliokuwa katika mahusiano mabaya wameshindwa kusamehe na kusahau na wanaona sex kama utumwa fulani,kuna wasiopata raha wakati wa sex na hawaoni kwanini wafanye,the list goes on and on......
Kupenda kwako mapenzi na kumwambia mwanamme wako na kubinjuka kama utaona ufalme wa mbingu ukifanya hivyo haimfanyi mwanaume abaki kuwa wako....at the end anaweza tamani nje na akatoka.....yeye ni binadamu independent na mwili wake hata kama kaoa...
I hate generalisations......na usiwe unasema tuache ujinga tule kitu roho inapenda...kitu roho inapenda kwako si lazima roho yangu iwe inapenda.....na tuko tofauti huku duniani na tumekutana na mambo tofauti kuwa tulivyo.....ukileta mada we iweke but kugeneralise ni ujinga wa hali ya juu.