Wanawake ndo tunasababisha waume zetu kutoka nje.

Wanawake ndo chanzo kikubwa cha wanaume zetu kufanya mapenzi nje. Sababu wanawake wengi wanajifanya hawapendi kufanya mapenzi kitu ambacho si kweli. Wanawake wanapenda sana kufanya mapenzi ila wanaogopa kuonyesha wanaume zao eti wataitwa malaya. Huo ni ujinga mtupu kuleni kitu roho inapenda.

Mimi binafsi na admit kwamba napenda sex na mpenzi wangu analijua hilo hivyo na wenzangu muwe wakweli pia. Msilete mambo ya siyo wanawake wote wanapenda NI KWAMBA WOTE TUNAPENDA SEX. Wewe unae andika comment yako sasa fikiria kwanza huja andika.

Kwa nini unanilazimisha niandike kile unachotaka niandike??
Sasa nakuwa mbishi, mimi sitaki SEX.
 
Kweli sisi wenyewe ndio tunaosababisha ila kumtuliza mwanaume kunahitaji zaidi yakuzipeleka kitandani!Ongeza kumjali..kumpenda kwa maneno na matendo..kumheshimu..kumbembeleza..kumsifia..kumfanya ajihisi yeye ndo yeye kwako..kumpa moyo anapoonyesha kushindwa au kukata tamaa..na mengineyo!

Big up Lizzy, kula tano, hii imetulia, laiti ladies wamgejua haya
 
Kwa nini unanilazimisha niandike kile unachotaka niandike??
Sasa nakuwa mbishi, mimi sitaki SEX.
Hapo kwenye red honey, hayo mambo usiweke hadharani bana..........mwenzio niko very embarrassed mbele ya washkaji....Siku nyingine ni-PM sawa eeeh?? Leo nakusamehe mwaya.
 
Wewe kama unapenda sex ni vizuri sana, penda fanya binuka ng'ang'ania, fanya kila kitu lakini usidhani sex peke yake ndo inamfanya mwanaume asitoke. Mpe sex 24 7 afu usimuheshim, usimpikie, usijishughulishe katika swala zima la maendeleo na wala usifanye mwanamke anayotakiwa kufanya kama mwanamke halisi ndani ya nyumba, ukalie sex uone kama atatajirika kwa sex unayompa. Nyumba au mapenzi hayajengwi kwa sex peke ake na neno mapenzi ni muunganiko wa vitu vingi sana na sex ikiwa kati ya hayo. Wewe ndo ungefikiria sana.

Nakuunga mkono Mamushka, maana hamu ya mwanaume kufanya mapenzi huchangiwa na vitu vingi, hivyo prior treatment ina mata sana, huwezi kumkwaza mwenzio kila siku halafu unamwambia mimi napenda kusex basi na yeye atakudu tu, utakaa na mapenzi yako ya kudu bila kuduiwa, mi naona cha msimgi ni kuwa marafiki ili kila mtu azungumzie majitaji yake kwa mwenzie, na kuweka wazi kero zenu, vinginevyo utafikiri mwenzio anapenda hiyo kitu sana kumbe anakusimulia kwa wenzie kwamba huridhiki, au haujasikia kuna wanaume wanawakimbia wanawake kwa sababu wanapenda sana sex?
 
Kwani sex ndo inamzuia mwanaume kutoka? Je kama hafurahii hiyo sex?
 
not enough una hidden agenda wewe!
umekuja kutaka PM za kaka wa JF...ndio unapose kama yule 'perfect mwanamke' wakaka wanaomuota...
ofourse kwa wanaume sex ina kipaumbele kuliko vingine vyote,na wewe ndio unapose km biggest provider wa hio kitu....mnh hata km uko 'hunting' sio kwa kujishusha namna hio....:twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::coffee:😛opcorn:
 
Kuna wanaume wengine hata waoe makungwi/walimu wa kitchen part lazima watoke nje na kutoka njee sio kwamba hupendi bali mwenzio anakaugonjwa flani kangono. (tafuta mwanaume anayemwogopa mungu/mcha mungu afu play your part as a woman nakuapia hatatoka nje kwa waliokwisha olewa imekula kwao)

Hahaaa haaaa, mchezo wanaume wakilokole wenyewe baadhi wanachakachua.
 
not enough una hidden agenda wewe!
umekuja kutaka PM za kaka wa JF...ndio unapose kama yule 'perfect mwanamke' wakaka wanaomuota...
ofourse kwa wanaume sex ina kipaumbele kuliko vingine vyote,na wewe ndio unapose km biggest provider wa hio kitu....mnh hata km uko 'hunting' sio kwa kujishusha namna hio....:twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::coffee:😛opcorn:

mpe mpe uyo
mpakie ajae
mjaze amiminike
mlalishe ntamfunika
mpe mbu ntamnunulia net
byeeeeeee nawai kaugal mlendakangu mie
 
Mi nadhani mtoa mada hazungumziii kama sex pekee ndio itamfanya mume asitoke nje, ila anaizungumzia kama sababu moja wapo kati ya nyingi ambazo zinaweza kumtoa nje jamaa especially kama mwanamke anafanya kila kitu vizuri ila ktk sex tu ndo anafanya kama alivyoelezea

CPU, watu wawili wakiwa chumbani bwana mh sijui, mi ninachojua hata mtu akiwa mpole vipi, lakini mkute anga hiyo alivyomkatili huezi amini. Kila mtu anapenda sex, ila viwango vya kupenda ndo vinazidiana. Unaweza ukawa unapenda ila mwenzio akawa ana kulet down hakuridhishi, au anavurugu kwenye gem, au ni mkianza tu anamaliza bila kujua mwenziwake yuko stage gani. Hapo sex unaipendaje sasa.
 
Wanawake ndo chanzo kikubwa cha wanaume zetu kufanya mapenzi nje. Sababu wanawake wengi wanajifanya hawapendi kufanya mapenzi kitu ambacho si kweli. Wanawake wanapenda sana kufanya mapenzi ila wanaogopa kuonyesha wanaume zao eti wataitwa malaya. Huo ni ujinga mtupu kuleni kitu roho inapenda.

Mimi binafsi na admit kwamba napenda sex na mpenzi wangu analijua hilo hivyo na wenzangu muwe wakweli pia. Msilete mambo ya siyo wanawake wote wanapenda NI KWAMBA WOTE TUNAPENDA SEX. Wewe unae andika comment yako sasa fikiria kwanza huja andika.

Ni kweli ndg yangu wengine wanajifanya hawa-mind sana lakini ukimpandisha uwanjani hataki utoe ile kitu roho inapenda. Mauno anakata kama amepagawa hivi. Inafika wakati unajiuliza kwamba duu hivi huyu ndiye niliyekuwa napigwa danadana vileeeee!!
 
not enough una hidden agenda wewe!
umekuja kutaka PM za kaka wa JF...ndio unapose kama yule 'perfect mwanamke' wakaka wanaomuota...
ofourse kwa wanaume sex ina kipaumbele kuliko vingine vyote,na wewe ndio unapose km biggest provider wa hio kitu....mnh hata km uko 'hunting' sio kwa kujishusha namna hio....:twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::coffee:😛opcorn:

Sina msaada.
 
Nakuunga mkono Mamushka, maana hamu ya mwanaume kufanya mapenzi huchangiwa na vitu vingi, hivyo prior treatment ina mata sana, huwezi kumkwaza mwenzio kila siku halafu unamwambia mimi napenda kusex basi na yeye atakudu tu, utakaa na mapenzi yako ya kudu bila kuduiwa, mi naona cha msimgi ni kuwa marafiki ili kila mtu azungumzie majitaji yake kwa mwenzie, na kuweka wazi kero zenu, vinginevyo utafikiri mwenzio anapenda hiyo kitu sana kumbe anakusimulia kwa wenzie kwamba huridhiki, au haujasikia kuna wanaume wanawakimbia wanawake kwa sababu wanapenda sana sex?

Nikweli kila jambo likizidi kipimo ni kero.
 
ni kweli kabisa mwanamke huyo huyo wakatiwa uchumba alikuwa anakupa raundi tatu au nne leo ndani ya ndoa utasikia tumeshazeeka sasa sex ya nini so mzee mbunye unaiona akiwa anavaa tu ileeeee mnakaa wiki mbili ndo kwa taaabu anakupa tena akikojoa yeye basi anakuacha mwenyewe uangaike. hakupikii tena hapigi nguo zako pasi tena muda wote saluni na kitchen party. WANAWAKE MBADILIKE
Ukiona hivo kunatatizo hapo sio bure.
 
nguluwe pita mkuki sinaaaa.....
 
Hapo kwenye red honey, hayo mambo usiweke hadharani bana..........mwenzio niko very embarrassed mbele ya washkaji....Siku nyingine ni-PM sawa eeeh?? Leo nakusamehe mwaya.

Ha ha ha ha ha ha ha haha!!!!
 
Wewe kama unapenda sex ni vizuri sana, penda fanya binuka ng'ang'ania, fanya kila kitu lakini usidhani sex peke yake ndo inamfanya mwanaume asitoke. Mpe sex 24 7 afu usimuheshim, usimpikie, usijishughulishe katika swala zima la maendeleo na wala usifanye mwanamke anayotakiwa kufanya kama mwanamke halisi ndani ya nyumba, ukalie sex uone kama atatajirika kwa sex unayompa. Nyumba au mapenzi hayajengwi kwa sex peke ake na neno mapenzi ni muunganiko wa vitu vingi sana na sex ikiwa kati ya hayo. Wewe ndo ungefikiria sana.

Umenimalizia maneno kabisaa.

Sexy is not love, care and happiness
 
Back
Top Bottom