Wanawake ngojeni ni wape siri-kuhusu sisi wanaume

Unatafuta ligi ya kidini kiujanja ehhhh? Ngoja wataalamu waje kukujibu

Yaani wala usisumbuke kumjibu huyu mtu, analeta mada ambayo hawez hata kuitetea.

Naamuuliza afafanue mstari wa Biblia eti anajibu "Huna jipya wewe!!"
Namuuliza atuambie wapi wameruhusu kuoa wake zaid ya mmoja kwenye bible, ananijibu "Unapingana na Biblia wewe?"

Yaani majibu yake hayaendani kabisa na anachoulizwa. Ni mbishi tu by Nature.

Anaelewa fika kuwa hajawahi ona mkristo mwenye ndoa za wake wawili au zaid za kanisani, pamoja na kudai kwake eti HAIJAKATAZWA.
Ukiangalia post yake utaona sehemu anasema . . . "vitabu vyote vya dini karibu vinaruhusu mwanaume aowe zaid ya mmoja"
Ila kashindwa kutaja hiyo ruhusa iko wapi ktk Biblia

Tamaa zake za kuwa na wanawake wengi ndo anazitawanyisha kwa kila mwanaume. Mwenyewe ameziita eti SIRI KUHUSU WANAUME . . . . Daaah!!!! Kumbe ndo siri zake mwenyewe!!!
Ujue hapa anajisema LIVE yeye mwenyewe kuwa, BILA KUZINI NA WANAWAKE WENGI BADO HAJAPENDA. Ushamsoma hapo????
 
Unatafuta ligi ya kidini kiujanja ehhhh? Ngoja wataalamu waje kukujibu

Yaani huyu ndo yule ambaye ukimwambia "KUWA MAKIN SANA USIJE UKAJIKWAA NA UKIMWI" anaelewa kujikwaa barabaran au wakati anatembea/anakimbia. Siku kaupata unamkumbushia ulimuonya, utashangaa anakujibu "MIMI SIKUJIKWAA HATA KIDOGO, ONA MWILI MZIMA SINA SEHEMU NILIYOJIKWAA, NILIKUWA NAFANYA MAPENZI TU"
 


inaweza kuwa kweli.maana kuna rafiki yangu mumewe alioa mke wa pili dada akureact na baada ya muda mumewe alirudi home kwa aibu kubwa.lakini moyo ukishapenda sidhani kama unaweza kuruhusu kirahisi.
 

Katika "mada puuzi" iliyofungulia 2012 hii ya huyu jamaa inashika namba 1
Tumpotezeeee..mwanzoni nilidhani ana point, nikajisumbua kumpa maelezo ya kianthropolojia, kumbe wala hakustahili.I wish ningeweza kui-call back post yangu....
 
Katika "mada puuzi" iliyofungulia 2012 hii ya huyu jamaa inashika namba 1
Tumpotezeeee..mwanzoni nilidhani ana point, nikajisumbua kumpa maelezo ya kianthropolojia, kumbe wala hakustahili.I wish ningeweza kui-call back post yangu....
Hahaha hapana shida kama ni mada wewe unaona ya upuzi, si unaju siku zote kwenye ukweli lazima utakutana nao tu watu kama wewe wenye kukutukana.

Wewe kama unazo point leta ukanusha nacho eleza sio maneno tu yasio na msingi.

Chukulia mfano kama hu, wewe unaenda shule na mwalimu wako anakufunza 2+3=4 wewe unakubaliana naye bila kumuliza vipi mwalimu umepata wapi hilo jawabu.....Si itakuwa ujinga.

wakati walimu wote wanasema 2+2=4.

Hakuna kitabu kinacho sema Yesu alikataza mtu kuoa mke wa pili.

Wacha matusi leta mawazo, matusi hayata kusaidia utabaki nayo tu wewe....Mimi hayanitishi na wewe hayatakusaidia kitakacho kusaida siku zote ni elimu na ukweli.


Unaogopa mme wako akisoma hii mada atapata akili, ndo mana unatukana sana....hahaha.

 
Swadactaaaaaaa....fazaaaaa swali lako jibu lake ni "HAKUNA SEHEMU ILIYOANDIKWA".isipokuwa tu watu hawataki kukujibu mwaya.na kwa kuwa inaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja,tuangalie zama tulizonazo na matatizo ambayo binadamu tumejisababishia na kuishia kuamsha hasira za MUNGU na kuanza kuonja adhabu zake na matokeo yake inakuwa vigumu sana kutimiza mambo mengi tuliyoruhusiwa kama hili la mke zaidi ya mmoja.kwa ufupi tunajinyima uhuru wenyewe na matendo yetu machafu na tunavyozidi kwenda ndio mambo yanakuwa yanazidi kushindikana.
 
sorry. Mimi ni Padri nimeingia kimakosa hapa, kwani mimi siruhusiwi kuwa na mke hata huyo mmoja. ( usiulize kuhusu kuwa na watoto kwakuwa dini yetu haikuzungummzia hilo, halijaruhusiwa wala halijakatazwa)

haya sasa natoka humu kwaherini, msiulize swali kwa mchango wangu wala msi comment kitu maana sitausoma kwa kuwa sitarudi tena humu, BYE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…