Wanawake ngojeni ni wape siri-kuhusu sisi wanaume

Aisay hapa lazima niwe mshindi, mana watu wanatoka nje ya mada na kuanza kuleta maneno mengi.

Yani wameishiwa, na bora tufunge mjadala mana hakuna anaye weza kujibu haya maswali mawili hapa chini.

1-Wapi kwenye bible inasema mkristo asioe mke wa pili?

2-Wapi kwenye bible ukioa mke wa pili utakuwa unafanya sex?

hili wazo halina mashiko hata kidogo,
we kama umeamua kutoka nje kila la kheri
 
Aaaaa wacha kugeuza swali, wapi Bible inasema ukioa mke wa pili utakuwa unazini?

Usifananishe mke wa pili na mwanamke unaye zini naye nje.

Mke wa pili mana yake, ni mke wako....Sababu umefunga nae ndoa.

Ikiwa kanisani mnafundishwa mke wa pili ni malaya basi ni kanisani, lakini msikitungie uwongo kitabu cha mungu(Bible) kuwa ndo kimesema.

Kasomeni bible vizuri wacheni kelele.
 
Tulichoona wakati hubby wako CPU anahangaikia PhD.....sema basi tu ngoja tulinde ndoa lol
Mliona nini?
Au ndio 'payback' kwa kukataa tongozo? Hilo analijua tayari!lolz
 
Fata dini baba, wacha kufanya ngona kabla hajuoa.

Kama unafanya sex kabla hujaowa, ujuwe ni dhambi sana tena hairuhusiwi...Mwanamke akisha kupa vitu vyake, basi wewe piga mikasi tu, usiowe kabisa.

Huyo ulisha kula tunda lake na limekuingiza kwenye dhambi mwanzo, nalita kupeleka kwenye moto mwishoni.

Mkitaka kuoa oweni wale walio ficha matunda yao, mpaa mmefunga ndoa ndo mnakula matunda yao.

Yani aisay akitokea demu akanivulia chupi, basi huyo na kula vitu afu nakata kona....Wacha aniite mshenzi au shetani mkubwa wala sijali, mana mimi na yeye wote tutakuwa kundi la shetani tu...Hatukumsikia mungu toka mwanzo tutamsikia badaye.

Sasa kwa infomation yako; Hakuna kitabu cha dini kimesema tufanye ngona kwanza, afu ndo tuowe hao wanawake.

Aisay hebu tuwache mambo ya kidini kwenye hii thread, mana naona wengi dini hamzijui.

wewe acha kuongelea history,ukwel ndio huo,watu hatumjui MUNGU,ngono ipo mbele,hapo ulipo umeshalala n gelz wangap?uliwakuta wamefunika matunda yao?na huyo utakaemkuta amefunika matunda yake ili asubir kuolewa n wewe utampata wapi ikiwa wewe mchafuz?na ujue na wenzio wachafuz vilex2!huyo unaemuota aliefunika matunda,kila la kheri kwny ndoa yako ya ndotoni....
 
Kabisa kabisa wengi hatumjui mungu mpaa pale tunashida, hapo hakuna anaye kataa.

Kuhusu swali nimezini na wanawake wangapi, hapo sasa ndo patamu aisay ujuwe ndo mana nikaja na point si bora tuoe kuliko kuzini.

Usisahau experiance is the best teacher.

Yani huwezi kufananisha kuoa na kuzini hata siku moja.

Tunarudi tena kwenye mada, usiwe mkali baba najua nimeisha wakera wengi wenu sana, sababu mnadanganywa kanisani eti kuoa mke wa pili dhambi....Wapi bible imesema kuoa mke wa pili ni dhambi? mbona hamtaki kunijibu.....Mnakuja na kelele nyingiiiii tu zisizo kuwa na ukweli waina yoyote ile.
 
Fazaa umetumwa ulete habari hii hapa utuudhi roho zetu? huyo mwanamme hujamruhusu na anao tele seuze umsusie nguruwe miogo!
 
Usisahau ukweli unauma sometimes.

Yani wewe chukulia mfano mdogo sana, mme wako ana toka nje anafanya sex nje ya ndo, afu wewe unajua wazi na unasema wanamsingizia hata ukiletewa ushihidi....Lakini akitaka mke wa pili wa kufunga naye ndoa unakuwa chuwi hajiioni kama una kasoro kwenye kichwa.

Mfano wa pili mme wako anasema sitaki kusex nje, lakini nimependa mwanamke mwingine kama wewe nataka kuoa, unakuwa mkali na matusi ya kashfa kila sehmu, anakuwacha wewe...Afu anaenda kuoa yule aliye mtaka....Nani anakula hasara hapo? Ungekubali yangekuwa vipi... Jawabu unalo.

Mfano mwingine mme wako anataka kuoa, unakataa kabisa anakuogopa ukila kona anasex na wanawake wengine nje ya ndoa, nani anamakoso hapo? Nafahamu hapo utasema mwanaume....Ukweli kama unatumia akili vizuri ni wewe, sababu atafanya sex na wanawake njeee na mwisho anakuletea maradhi. na mnawacha watoto zenu mayatima....Huoni kama huo ujinga, ungekubali ukasema sawa kaowe mke wa pili lakini lazima aende akafanye full medical check up....Hapo nani atakuwa ana akili.

Usisahau kitu asicho kikataza mungu hakina madhara....Mungu hajakatza mme wako aowe mke wa pili....Ujuwe kina faida kwako.

Kitu alicho kikataza Mungu kina madhara yake, mungu kakatza mwanaume aliye kuwa yuko kwenye ndo asifanye sex nje, akienda nje ya ndoa,,,basi balaa zake ndo hizo Aids na mengi yamejificha unayajua.
 
Aaaaa wacha kugeuza swali, wapi Bible inasema ukioa mke wa pili utakuwa unazini?

Usifananishe mke wa pili na mwanamke unaye zini naye nje.

Mke wa pili mana yake, ni mke wako....Sababu umefunga nae ndoa.

Ikiwa kanisani mnafundishwa mke wa pili ni malaya basi ni kanisani, lakini msikitungie uwongo kitabu cha mungu(Bible) kuwa ndo kimesema.

Kasomeni bible vizuri wacheni kelele.

Mbona ulianza vizuri sasa unaigeuza hoja yako ktk dini? Kasome mark 10:11...Ukristo hauruhusu ndoa zaidi ya moja...
 
Usisahau ukweli unauma sometimes.

Yani wewe chukulia mfano mdogo sana, mme wako ana toka nje anafanya sex nje ya ndo, afu wewe unajua wazi na unasema wanamsingizia hata ukiletewa ushihidi....Lakini akitaka mke wa pili wa kufunga naye ndoa unakuwa chuwi hajiioni kama una kasoro kwenye kichwa.

Mfano wa pili mme wako anasema sitaki kusex nje, lakini nimependa mwanamke mwingine kama wewe nataka kuoa, unakuwa mkali na matusi ya kashfa kila sehmu, anakuwacha wewe...Afu anaenda kuoa yule aliye mtaka....Nani anakula hasara hapo? Ungekubali yangekuwa vipi... Jawabu unalo.

Mfano mwingine mme wako anataka kuoa, unakataa kabisa anakuogopa ukila kona anasex na wanawake wengine nje ya ndoa, nani anamakoso hapo? Nafahamu hapo utasema mwanaume....Ukweli kama unatumia akili vizuri ni wewe, sababu atafanya sex na wanawake njeee na mwisho anakuletea maradhi. na mnawacha watoto zenu mayatima....Huoni kama huo ujinga, ungekubali ukasema sawa kaowe mke wa pili lakini lazima aende akafanye full medical check up....Hapo nani atakuwa ana akili.

Usisahau kitu asicho kikataza mungu hakina madhara....Mungu hajakatza mme wako aowe mke wa pili....Ujuwe kina faida kwako.

Kitu alicho kikataza Mungu kina madhara yake, mungu kakatza mwanaume aliye kuwa yuko kwenye ndo asifanye sex nje, akienda nje ya ndoa,,,basi balaa zake ndo hizo Aids na mengi yamejificha unayajua.

Fazaa,tofauti yako na wachangiaji wengi ni kuwa,you have not differentiated sex na ndoa,.ndoa is more than sex,ni companionship..na kwenye bible,kuna neno la kuondoka kwa baba na mama na kuwa mwili MMOJA na mume/mke,.soma mark 7-12..do not let lust endulge the way you perceive the word of God.be blessed.
 
Aisay ndugu kwanza leo niko busy sana kwa hio ukiona swali lako nachelewa kulijibu ujuwe niko busy, lakini talijibu tu sawa.

Haya tukirudi kwenye swali lako, Wakristo wanaruhusiwa kuoa wanawake wangapi?

Hapo hata wakristoi wengine hawajui wamuamini mungu au wamini maneno wanayo fundishwa bila dalili...Mimi nataka wewe unaye amini ukristo uniambie wapi bible iimesema huruhusiwi kuoa mke wa pili...Umeshindwa kunijibu sasa unauliza wa kristo wameruhusiwa kuoa wanawake wangapi...Wakati kitabu chako unacho kiamini hakijasema usiowe mke wa pili.

Sasa tuamini mnavyo amini nyie au tuamini kitabu chenu? Mana kitabu chenu hakijakataa msiowe zaidi ya mke mmoja au hakisemi kuowa mke wa ppili ni dhambi.

Ukisema tumeambiwa kanisani tusiowe mke wa pili bila kuwa na point kutoka kwenye bible hapo itakuwa ni ujinga...Ni sawa sawa kama vile mfano wa mtu aende University bila kusoma akafahamu, afu umueleze wewe umeisha kuwa na degree haina haja ya kusoma.

. . . . . . . . na wapi bible imeruhusu kuoa mke zaid ya mmoja??
Yaan wewe umekomalia tu kwenye "haijasema ni dhambi" au "haijakataza"??
Yaani wewe unataka mpaka isemwe "Mke wa pili hairuhusiwi" ndo uone imekatazwa, ila ikisemwa "Kila mtu awe na mwenza wake mwenyewe" unaona kama haijatafsiri kukatazwa mke mwingine sio?
Laiti maandiko yangekuwa yanatafsiriwa kama yalivyoandikwa tusingehitaji kuwa na Viongozi wa Dini wala Shule za kusomesha hao Viongozi wa Dini. Hata Askofu angeweza kuongoza Ibada msikitini, maana unasoma tu kama ilivyo basi.

Ngoja nikuulize moja ya misemo ktk maandiko then uniambie unaelewaje . . . . . .
" . . . . .na ikiwa nina imani yote kuweza kuhamisha milima, lakini sina upendo, mimi si kitu" unaelewaje ktk huu msemo?
Na usijesema haupo ktk biblia, angalia - 1 Wakorintho 13:1-13

Unatakiwa ujue kuwa Viongozi wa Dini kazi yao ni kutoa mwongozo na ufafanuzi kutokana na yaliyoandikwa ktk vitabu vitakatifu. Hii ni kwa mujibu wa mafunzo ambayo wanapata kabla hawajapata nafasi ya kuwa viongozi wa dini. Sisi Wakristo (kama ulivyodai) utaratibu wetu ndio huo. Mwanaume na mwanamke wakishaoana hawaruhusiwi kwenda kuoa au kuolewa kokote kwingine kupitia Kanisani.

Kwa kifupi NDOA YA WAKE ZAID YA MMOJA KWA WAKRISTO HAKUNA. HAKUNA NDOA YA KIKRISTO AMBAYO MUUMINI WAKE ANAISHI NA WAKE WAWILI AU ZAID.

cPu
 
Mbona ulianza vizuri sasa unaigeuza hoja yako ktk dini? Kasome mark 10:11...Ukristo hauruhusu ndoa zaidi ya moja...
Aisay nikisema hamjui bible mnapiga kelele hebu nipe quote inayosema nacho uliza....sitaki univuruge akili leta proves zako na uniwekee highlighted wapi mungu anakataza usiowe mke wa pili.

Hio mark inaongelea mtu ambaye anawacha mke wake nakuoa mwingine....sio kuowa mke wa pili.
He answered, "Anyone who divorces his wife and marries another woman commits adultery against her
i
 
Fazaa,tofauti yako na wachangiaji wengi ni kuwa,you have not differentiated sex na ndoa,.ndoa is more than sex,ni companionship..na kwenye bible,kuna neno la kuondoka kwa baba na mama na kuwa mwili MMOJA na mume/mke,.soma mark 7-12..do not let lust endulge the way you perceive the word of God.be blessed.
We wacha kuzungusha watu, weka quote zako hapa usiseme kasome, mbona unaogopa, mbona sijaona nacho uliza kimejibiwa kwenye hio point yako.

Bandika quote afu weka size 4 ili isomeke na kila mtu asome.
 
. . . . . . . . na wapi bible imeruhusu kuoa mke zaid ya mmoja??
Yaan wewe umekomalia tu kwenye "haijasema ni dhambi" au "haijakataza"??
Yaani wewe unataka mpaka isemwe "Mke wa pili hairuhusiwi" ndo uone imekatazwa, ila ikisemwa "Kila mtu awe na mwenza wake mwenyewe" unaona kama haijatafsiri kukatazwa mke mwingine sio?
Laiti maandiko yangekuwa yanatafsiriwa kama yalivyoandikwa tusingehitaji kuwa na Viongozi wa Dini wala Shule za kusomesha hao Viongozi wa Dini. Hata Askofu angeweza kuongoza Ibada msikitini, maana unasoma tu kama ilivyo basi.

Ngoja nikuulize moja ya misemo ktk maandiko then uniambie unaelewaje . . . . . .
" . . . . .na ikiwa nina imani yote kuweza kuhamisha milima, lakini sina upendo, mimi si kitu" unaelewaje ktk huu msemo?
Na usijesema haupo ktk biblia, angalia
- 1 Wakorintho 13:1-13

Unatakiwa ujue kuwa Viongozi wa Dini kazi yao ni kutoa mwongozo na ufafanuzi kutokana na yaliyoandikwa ktk vitabu vitakatifu. Hii ni kwa mujibu wa mafunzo ambayo wanapata kabla hawajapata nafasi ya kuwa viongozi wa dini. Sisi Wakristo (kama ulivyodai) utaratibu wetu ndio huo. Mwanaume na mwanamke wakishaoana hawaruhusiwi kwenda kuoa au kuolewa kokote kwingine kupitia Kanisani.

Kwa kifupi NDOA YA WAKE ZAID YA MMOJA KWA WAKRISTO HAKUNA. HAKUNA NDOA YA KIKRISTO AMBAYO MUUMINI WAKE ANAISHI NA WAKE WAWILI AU ZAID.

cPu
Aisay mungu huwa hapigi fumbo ili wengine wasifahamu, mungu gani huyo anayesema fumbo ili watu wasifahamu, we leta kitu kimeandikwa hivi; Mungu anakataza usiowe mke wa pili....Msilete story nyingi kama hakuna jibu kutoka kwenye bible.
 
We wacha kuzungusha watu, weka quote zako hapa usiseme kasome, mbona unaogopa, mbona sijaona nacho uliza kimejibiwa kwenye hio point yako.

Bandika quote afu weka size 4 ili isomeke na kila mtu asome.

Dah!lugha yako tu niko hoi..ila kwa faida ya wenye mawazo kama yako..mark 10,7-12:for the cause shall a man leave his father and mother and cleave to his wife,and they twain shall be one flesh,so then they are no more twain but öne flesh,what therefore God hath joined together let not man put asunder..verse 11 to 12,and he saith unto them whosoever shall put away his wife and marry another commteth adultery against her,malizia 12..and plz ushauri wa bure,change ur tone.be blessed.
 
Back
Top Bottom