Wanawake ngojeni ni wape siri-kuhusu sisi wanaume

Unajua ungefatilia sana hii thread toka mwanzo usinge uliza hili swali, mana hapo naona unanirudisha mwanzo kabisa....Unapo sema wengi si aina si dhani kama hii thread inaongelea wanaume wote au uwongo.

Nimesema toka mwanzo ngojeni niwape siri kuhusu sisi wanaume, yani unapo ongelea siri....Mara nyingi sana kama utatumia akili yako vizuri, siri ni kati ya watu wawili au group flani sawa...Umeisha nifahamu au bado?


Naongelea wale wanaume ambao wanataka kuoa na wake zao hawataki, au wale wako nje saa zote wanakula vi babe'z umenipata.


Yani napo toa thread lazima muwe mnasoma vizuri kabla ya kurukia tu kujibu, kuna thread zingine zinaongelea point ambazo mpaa uzisome vizuri ndo utazielewa.

Nadhani sasa umenifahamu, huwezi kufananishai Kikwete na Jacub Zuma LAZIMA UJUWE HILO.
 

Tukikupeni siri zetu nyie wanaume mtavunjavunja computer zenu bure! Wanaume wakware huchorekaje!

Reasoning ya baadhi ya wanaume bana hahahahah..utadhani ni yeye tu kidume dunia nzima!Hicho kipaint brush chako kikishachoka kupaint vyumba kadhaa za huko nje, ujue kuna bonge la lijipaint brush linapangusapangusa vumbi kwako na ukikawia litapaint kabisa.
Ukitaka heshima anza na wewe mwenyewe kujiheshimu.
 
hahah mkuu The Boss....huyo ndo fazaa....tumetoka naye mbali sana huyu....hajaacha style yake tu...hahahah

kwani Kaizer kule kwa zamani ulikuwa unatumia jina hili hili????
mangeka yupo wapi?
 

Thread yako inaongelea wanaume wote au baadhi?
Kama ni WOTE una uhakika na ulichoandika?
Kama ni BAADHI hao baadhi ndio wakoje (swali langu bado liko pale pale.)Nataka kujua mkoje, nyie wanaume mnaoongozwa na hii "siri".
 
Yani wanawake mnapenda kupiga kelele...Usikimbilie kutukana paintbrush huo ulikuwa mfano wa yule mwanamke anaongelea nature.

Unaposema sema vyanume vingine vinajifanya dume, kwannii vijifanye dume wakati vimeumbwa dume?

Au wewe unaongelea ulio kutana nao ukawashinda....Mbona na sisi tumekutana na wale ambao wameshindwa kuzuia mashambulizi yetu....usiifananishe Manchester united na Barca.
 
Thread yako inaongelea wanaume wote au baadhi?
Kama ni WOTE una uhakika na ulichoandika?
Kama ni BAADHI hao baadhi ndio wakoje (swali langu bado liko pale pale.)Nataka kujua mkoje, nyie wanaume mnaoongozwa na hii "siri".
Aisay sijui niseme nini, mimi nasema hivi wewe unasema hivi.

Lizzy wachana na swali hili mana ni gumu sana kwako, sinimeisha kujibu huko au unataka nikujibu vipi tena.
 

Huna akili na usipobadilika mwaka huu utakuwa mgumu sana kwako, naona umeunza mwaka vibaya.
 
Huna akili na usipobadilika mwaka huu utakuwa mgumu sana kwako, naona umeunza mwaka vibaya.
Sasa wewe mwenye akili hebu niletee kitabu cha dini kinacho sema....Mwanaume asiioe zaidi ya mwanamke mmoja.

Ukishindwa inabidi ukabili kuwa wewe ndo huna akilii.

Nangojea Quote zako za vitabu vyako.

Si unajua hata wehu wanajua kupiga kelele :biggrin:
 

kujaza mimba sio kwamba mtu ana nguvu za kiume nyingi! kukaa kwa computer, kula chips kuku na kupanda magari ndio unajidai kuoa wake wengi utakufa siku si zako!
 
ndugu yng,swala la kuoa mke zaid ya 1 co tatizo,tatizo ni huyo mwanamke unaemuoa,99.99% ya wanawake wanaoolewa kama wake wa 2 o 3 n n.k huwa wanalengo la kubomoa ndoa waliyoikuta na si kuendelea kujenga ya kwake!na magonjwa nayo ndugu mhh???unazid kujiongezea network na kuhatarisha maisha yk,ht km imeruhusiwa kwa baadh ya dini,haikufanywa kuwa lazima kutekelezwa,na ukumbuke unapooa hvy uadilifu ndio uwe ngao yako na hamu ya mapenz isikufanye ukaongez wake wakt uwezo huna n uadilifu huuwez!hutakuwa n cha kumweleza MUNGU mwisho wa cku.
 
afadhali wangu hayuko kwenye kundi hili maana hata round moja kazi kubwa kwake
 

Siku nyingine fanya uchunguzi kabla ya kuleta mada zako.Usipige yowe pale linapokugusa wewe....umenisoma vizuri post yangu au unakurupuka tu kujibu kama uko kijiweni?

Pata maana iliyojificha kwanza ndio ukurupuke kuweka mambo yako ya kijiweni ya ManU na Barca! Bisha hoja kwa hoja.


Mada nzima unalazimisha watu wakubaliane na nadharia yako uchwara, ukipewa mtizamo tofauti kwa level yako unakuja juu! Mara unalazimishia vitabu vya dini ati ndivyo vinavyosema.Hebu toa mfano kwenye hivyo vitabu vya dini twende aya kwa aya.....
 
Kuna ukweli hapo.ndio maana kuna dini inaruhusu mpka wanne.Angalieni tafiti hisio rasmi inaonyesha mke akimkubaria mumewe kuoa mke mwengine kuachwa inakuwa ngumu sana
 
kujaza mimba sio kwamba mtu ana nguvu za kiume nyingi! kukaa kwa computer, kula chips kuku na kupanda magari ndio unajidai kuoa wake wengi utakufa siku si zako!
Sasa wachana nakujaza mimba, tunajua unaweza kufanya sex mara moja mwanamke akabeba mimba ok.....Very good.

Q ni moja wewe umepata wapi hizo statistics kwamba wazee wazamani walikuwa wana nguvu kuliko wa sasa uLisha wajaribu?

Au ni hadisi za vijiweni tu.

Afu wewe na mimi sidhani kila mmoja anakula chips kuku au vyakula vya fast food.....Kumbuka wengine mayai yanawadhuru...na Wengine hawalii wale kuku wanao toka kwenye chicken feed making machine au fast food.

Afu point ingine si wote wanao kaa kwenye computer hawafanyi exercise, wengine tuna jogging machine tunakula mazoezi anytime....Wengine tuna swimming pool vyumban,i usisahau hayo.

Wengine tuliigain weight tukawahi kwenda kwenye health club, tukakutana na ma professional ambao ni wako specialised...Wakatuambia tule chakula gani kizuri na ni health kwenye mwili.

Yani usifananishe mtu anaye jitazama kiafya, na asiye jiitazama.
 
Haa nani kakulazimisha ukabaline na mimi....wapi nimekulazimisha hebu toa point nilio kulazimisha.


Hilo ni wazo langu kwamba na sio lazima wewe au mme wako alifatie.

Mfano wa vitabu vya dini ok here we go....Ref hapa utapata mengi Why did God allow polygamy / bigamy in the Bible?

na kama wewe muislam hapa Polygamy and Islam, Muslims, Quran
 
Kuna ukweli hapo.ndio maana kuna dini inaruhusu mpka wanne.Angalieni tafiti hisio rasmi inaonyesha mke akimkubaria mumewe kuoa mke mwengine kuachwa inakuwa ngumu sana
Hawa ndo zao kubisha, kwani huwafahamu wanawake.

Hao wanawake waislam wasome Quran vizuri kama wanaifahamu, na hao wakristo pia wasome Bible vizuri kama wanaifahamu.

Yani kazi zao kubisha tena ubishi wao, wanataka tusioe wakati Mungu katuruhusi.

Wangeambiwa wao na Mungu ndo waoe, mbona kungekuwa na kazi hapa duniani.

Sasa tuwasikilize hawa wanawake wa JF au Mungu?

Wanaume changamkeni oweni tu...Dini zote zinaruhusu kama mnauwezo..
 
Yani wewe unaongea vitu vya huna uadilifu, kama huna uadilifu hata kidogo au huna uwezo dini zote zinakataza usioe.

Hakuna dini inaruhusu uowe kama huna uwezo au hujapenda.

Afu mtu vipi ataoa mke wa pili kama hajapenda? na wa kwanza kamuoa vipi kama hajapenda.
 

swala co kupenda,unaweza kushawishika na ngono utakayopewa ukaamua uoe kabisa,hapo utakuwa umependa m2 au ngono yake?vp ukijaribu kwa mwingine ukakuta kumenoga zaidi uadilifu utauweza??
 
napita 2
:focus🙁umri bado haurusu...)
 
mkuu nakubaliana na wewe ujue tulio wengi tunachukulia kuwa mapenzi ni ngono, kwa wazungu wana kitu kinaitwa sexmate yaani unakuwa na mtu wa kufanya nae ngono yaani sex tu. Nitarudi baade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…