fazaa
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 2,984
- 1,031
- Thread starter
- #61
Unajua ungefatilia sana hii thread toka mwanzo usinge uliza hili swali, mana hapo naona unanirudisha mwanzo kabisa....Unapo sema wengi si aina si dhani kama hii thread inaongelea wanaume wote au uwongo.Ngoja nirahisishe swali zaidi maana "wengi" sio aina.
Je ni Wanaume ambao ni wanaume kweli au ni wanaume ambao bado ni wavulana?
Ni wanaume waoji au waolewaji?
Ni wanaume wanaojitambua au malimbukeni?
Ni wanaume wanajishughulisha au wanaoshughulishwa?
Ni wanaume wanaoleweka au ni wasanii. . . ?
Sitegemei hapo napo ushindwe.
Nimesema toka mwanzo ngojeni niwape siri kuhusu sisi wanaume, yani unapo ongelea siri....Mara nyingi sana kama utatumia akili yako vizuri, siri ni kati ya watu wawili au group flani sawa...Umeisha nifahamu au bado?
Naongelea wale wanaume ambao wanataka kuoa na wake zao hawataki, au wale wako nje saa zote wanakula vi babe'z umenipata.
Yani napo toa thread lazima muwe mnasoma vizuri kabla ya kurukia tu kujibu, kuna thread zingine zinaongelea point ambazo mpaa uzisome vizuri ndo utazielewa.
Nadhani sasa umenifahamu, huwezi kufananishai Kikwete na Jacub Zuma LAZIMA UJUWE HILO.