Aisee.....kule nilikuwa 'underground bana' ila am sure unampata fazaa na mambo yake lol....he is back na mistari yake ile ile...enzi zile bana..:tape2::tape2::tape2:
Tazama hii quote yako chini.Hebu weka ushahidi wa pale nilipoandika/kushauri kwamba Wanaume wawaache wake zao wafanye mapenzi na Wanaume wengine.
Je, tukiigeuza hii thread ili iwe kwa ajili ya Wanaume kwamba wawaruhusu wake zao wawe na Wanaume wengi nje ya ndoa kwa sababu "sex differs from love." je, njembas tutakubali? au ndiyo yatakuwa yale yale mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!?
Sasa wewe mwenye akili hebu niletee kitabu cha dini kinacho sema....Mwanaume asiioe zaidi ya mwanamke mmoja.
Ukishindwa inabidi ukabili kuwa wewe ndo huna akilii.
Nangojea Quote zako za vitabu vyako.
Si unajua hata wehu wanajua kupiga kelele :biggrin:
aisseee nawatafuta watu wa kule siwaono kabisa
Ndo maana hata mie natafuta wafuai wa Molygamy.
Ya nini mtesane kung'ang'aniana wakati mnaweza fanya kolabo na watu wengine bila kuvunja ndoa yenu?
Uhuru wa mwandishi aidhuru tabaka tawala tu.
Don't assume kua nikichangia nitachangia pumba. Naona tu watu wamesha kuja juu sana, hakuna anae ongea reasonably tena, ndio maana nimeona ni bora niwaacheHapo super ni bora kuliko pumba.
@CPU
Automatically hata wanawake hawajawa programmed kusex na mwanaume mmoja tu . .
sawa tunakubaliana na tunaona wanafanya wengi tu wewe huwaoni malaya, sasa hapa kuna lipi jipya....usikwepe hapa swali langu ok....swali; Je mwanamke anaweza kuowa mwanaume na dini gani inayo ruhusu hayo? unless awe bhudest au mtu asiye kuwa na dini.
Labda kama wanawake ni Safari Lager au Premium Serengeti Lager . . . . . lakin kama nao ni human being, na wana wivu kama sisi wanaume
Hakuna anaye kataa hapo, kila mwanamke ana wivu hata akiwa mke wako wanne atakuwa ana wivu sasa tatizo liko wapi?
Mkitaka wanaume zenu wawapende, wachieni wanaume zenu waowe wanawake wengine....Lazima mfahamu haya hakuna mwanaume amekuwa programmed afanye sex na mwanamke mmoja tu hapa duniani.
Najua wengi wenu mtasema what the heck am I talking about....Wewe chukulia umemruhusu mwanaume wako awe na mwanamke mwingine.
Huyo mwanaume atakuappreciate sana, na atakupenda sana na atawacha kucheat kabisa...He would cherish you, na atakuweka kwenye sehemu kubwa sana kwenye moyo wake.
Wanawake wengi lazima wajue wazi sex differs from love....Yani msidhani sex ndo love hata siku moja, kama mnadhani vile mjuwe mnajidanganya tu.
Mara nyingi sana ndoa zina fail sababu wanaume zenu wako mchaka mchaka kutafuta wanawake wa nje...Kwanini msiwakaribishe wanawake wengine ndani ya life za waume zenu, ili waaume zenu watulie na nyie.
Leo unakuta mwanamke analamika eti, mwanaume kabla ya kuoa lazima amishauri kwanza.
Akushauri vipi, wanawake mnapaswa kujiuliza swali moja tu...ingekuwa nyie ndo mnaruhusiwa kuoa wanaume zaidi ya mmoja...Mgeshauri wanaume zenu time ya kuoa, au hata mgetujali tutapenda au hatupendi? Aisay sidhani...Mana speed zenu ni kali kuliko zetu...mgekuwa kila siku mnaongeza wanaume.
Wasitokee hapa wengine wakaleta dini, mana mkiingia kwenye dini mjue mmeumia, mana hakuna kitabu cha dini kinaruhusu mwanamke aowe zaid ya mwanaume mmoja....Lakini vitabu vyote vya dini karibu vinaruhusu mwanaume aowe zaid ya mmoja.
Siku njema.
Ndugu Fazaa
Sex na Ndoa ni vitu viwili tofauti kabisa . . . . . Ndoa ni muunganiko wa watu waliokubali kuishi pamoja. Sex ni tendo la kufanya ngono na si kuishi pamoja, ingawaje kwenye ndoa kuna sex pia.
Ngoja niongelee Wakristo walivyo . . . . wao wanaruhusu kuoa wake wangapi?
Laima ufahamu kuwa KUPENDA au MAPENZI sio kukusanya wanawake wote unaowatamani na kusex nao. Kupenda ni kumkubali mwenza wako hata na yale ambayo ni madhaifu yake au yale ambayo hana. Nashangaa unaniuliza tatizo liko wapi? Mwanaume kuwa na wanawake wengi huoni kuwa ni tatizo??

Ndugu CPU,Ndugu Fazaa

Aisay kweli kuna watu hawana lakusema zaidi ya matusi.Leo kwa mara ya kwanza nimekutana na utani unaonifanya nijisikie vibaya kuwa mwanaume. Wewe kibaba wewe....una akili zote ndugu yangu?
Mimi naomba hilo liambatane na wewe kumruhusu mkeo awe anakung'utwa na wanaume wengine ili mkeo akupende kwani maumbile yake nayo hayana shida kuintatein wanaume wengi