1Afica54
Senior Member
- Feb 15, 2025
- 115
- 68
Habari wana JamiiForums Leo nimekuja na hii thread
Dunia ya sasa wanawake wengi wameanza kushiriki shughili za uzalishaji mali kwa kiasi kikubwa
Hii inatokana na wanawake kuimarishwa kielimu, elimu ya ujasiliamali pia siasa.
Kwa upande wangu nimefanya kazi na wanawake kwenye taasisi tatu nimeona uchapakazi wa wanawake ni tofauti na nilivyo kua nafikiria hapo awali
Yafuatayo ni mambo nilio yaona kwa wanawake kwenye hizo taasisi nilizo Fanya kazi
1, punctuality asee kwa upande wa wanawake hii nawapa kongole wanawake wa sasa wanaenda na muda, Kuna baadhi ya vitu vidogo vidogo unakuta sisi wanaume tunapuuza ila wao wanatimiza mfano Kuna file linahitajika lifanyiwe kazi ndani siku mbili mwanamke anaweza kukesha nalo ilo file chap likaisha ila sisi wakulungwa🤣🙌 asee unaweza kukumbuka ilo file na imebaki saa3 tu
2, ma Boss wengi wa kike wapo smart ndugu yangu ukikutana na boss wa kike alie nyooka ukiwa mbabaishaji kibarua kinaweza kuota nyasi maana unakuta wanamisimamo mikali huwezi kuongea nae kisela akakuelewa. Kwa wale ambao wamesoma shule ambazo mwalimu mkuu ni mwanamke alafu makamu mwanamke nadhani mnanielewa Yani kupigwa suspension ni schaap au kufukuzwa shule
3, kama una kampuni Yako zile kazi za office na za uongozi wa juu wape wanawake utakuja shukuru maana utakua umepunguza au kuondoa kabisa upigaji wanawake wengi wana Ile hofu ya mungu ya kweli tofauti na sisi wakulungwa pia wanawake wanaogopa kuharibu kibarua Chao au kufanya vibaya
4, Usafi mara nyingi sana ata office yenye wanawake na wanaume usafi wa office mara nyingi wanawake ndio wanahisika mfano mzuri mwanaume unaweza kuingia ofisini unaona office safi ila akija mda huo mwanamke anachukua fagio anafagia na anatoka na uchafu
5, wanawake wa sasa ni mhimili wa familia zao unaweza ukapata shida ya haraka unahitaji 900k ukimcheki brother anakupa mizunguko mingi ila ukimcheki sister kama anayo chap tu inaingia, pia Kwa baadhi ya makabilia kama waha wa kasulu asee ndio mhimili wa familia maana ndio wanalima wao wanafanya biashara wao na kuangalia familia mda huo wanaume wapo kilabuni wanapiga gamble
Japo wanawake wa sasa wameamua kujikita kwenye nyanja mbali mbali za maisha pia wamekua wakikutana na changamoto nyingi sana mfano rushwa za ngono Hilo lipo vyuo vikuu ma lecturers wanapiga sana dada zetu utambi, kwenye ajira dada zetu wanakutana rushwa za ngono pia ukandamizwaji na kukosa hakizao kama wafanyakazi haswa house girls wengi ni mateso matupu na serikali iangalie hili wadada wa kazi wengi wanalazimishwa kufanya ngono na ma Boss wao na kufanya kazi ambazo ni nje ya mkataba
Bila kusahau wanaume tumekua na mchango mkubwa sana kwenye MAENDELEO haswa kwenye uchumi, change makers, innovateters / wavumbuzi, miundombinu, siasa na protection soldiers etc pia Kwa miaka ya sasa wanawake wameonekana kwenye hizi nyanja na hapo nyuma kuto onekana kwao inachangiwa na kukosekana kwa usawa wa kijinsia
Maoni yangu kwa jinsia zote tuwajibike kuleta usawa wa kijinsia bila kuharibu tamaduni zetu na nafasi zetu katika jamii, kutafuta usawa wa kijinsia sio mpaka mwanaume nae aoshe vyombo na kufuta meza nyumbani apana sisi ni waafrika tuna tamaduni zetu na miiko yetu asante