Wanawake ni kama mawimbi!!

Wanawake ni kama mawimbi!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mwanamke akijisikia vizuri basi furaha yake humpeleka kuwa juu sana (peak) na mood ikibadilika basi hali yake hubadilika ghafla na kuvunjika hadi chini kabisa kama mawimbi, wakati huohuo akiwa chini (low) sana kihisia anaweza kubadilika mood tena na kuanza kupanda juu kama mawimbi.

Wakati akiwa juu kileleni katika hisia zake basi hujisikia vizuri hata hutoa upendo wake kwa wengine na pia kitendo cha kuwa chini sana husababisha upweke ndani yake na hapo ndipo anahitaji mwanaume au mtu yeyote ambaye anaonesha caring na kumsikiliza.
Anaokuwa chini kihisia basi love tank yake emotionally huhitaji kujazwa!

Je, dada zetu na mama zetu huwa mnajisikia kupanda na kushuka kwa mood kama mawimbi?
Tujadili!
 
Mood swings... ni moja ya ki element cha definition ya mwanamke... Tofauti ni frequency... Mwingine mara moja kwa week/mwezi/mwaka/ whereas mwingine kila siku...
 
Umeooonaaaaa mengine siri ya kakaetu!!!!!!!!
 
http://2.bp.blogspot.com/_Uf3wKuI_75k/SM8fDwTVZJI/AAAAAAAABCc/7BIMth40tOg/s1600-h/mawimbi.bmpMwanamke akijisikia vizuri basi furaha yake humpeleka kuwa juu sana (peak) na mood ikibadilika basi hali yake hubadilika ghafla na kuvunjika hadi chini kabisa kama mawimbi, wakati huohuo akiwa chini (low) sana kihisia anaweza kubadilika mood tena na kuanza kupanda juu kama mawimbi.

Wakati akiwa juu kileleni katika hisia zake basi hujisikia vizuri hata hutoa upendo wake kwa wengine na pia kitendo cha kuwa chini sana husababisha upweke ndani yake na hapo ndipo anahitaji mwanaume au mtu yeyote ambaye anaonesha caring na kumsikiliza.
Anaokuwa chini kihisia basi love tank yake emotionally huhitaji kujazwa!

Je, dada zetu na mama zetu huwa mnajisikia kupanda na kushuka kwa mood kama mawimbi?
Tujadili!

tujadili nini tena wakati umeshatusemea kila kitu unachokijua wewe? sana sana ukisikia mwanamke yuko chini kihisia mlift kwa kujaza love tank yake
 
hapa wanwake wasijeata sababu za mood ssings zao.....hamna lolote ni wee mwenyewe unavhochukulia mambo.....ata wanaume naowanaweza kuwa na mood swings kama jamaa ni mtuu asiyeweza kucontrol hisia zake!!!!!
 
Back
Top Bottom