hii inakua kwa wanaume walio na wapenzi, kuna kujiamini fulani kunakuwepo ukiwa na wanawake{hii inamanisha ukiwa na mwanamke halafu hujiamini hata hao wa nje hawatokupenda},lingine suala la kummiliki mwenza wako,hivyo hata mwingine atavutiwa na wewe kwa ajili unajua thamani ya mwanamke,lingine ni ukiwa uzitaki pesa sio rahisi ukazipata kwa wingi ila ukijiweka katika mazingira ya kutaka pesa utazipata kwa wingi{labda mungu aamue lingine}nachoongelea hapa ni ile hali ya mtu kujiweka katika hali ya kuhitajika na kitu fulani. Upande wa wanawake hapa ndo utakuta wanaume wenye kupenda vitu ambavyo tayari vimeundwa,wanapenda pale mwanamke anapopendeza tu,sababu nyingine ni kujiuliza uliza tu, aahhh fulani kanogewa nini pale? Ngoja nione,ingine mwanamke anaweza kuonekana mgumu lakini mmoja akimpata wengine wanafikiria ahhhha kumbe anatongozeka, hizo ni baadhi ya sababu ambazo hadi sasa ndo naziona ila maoni yanakaribishwa