wanawake ni kama pesa..

Mmmh,ndugu hizi experiment zako zinatisha,yaani mwanamke anafanana na pesa kweli?Pesa huwa tunazitafuta kwa nguvu na uwezo wetu wote,na hata tukizikosa hatuchoki zitafuta,lakini mwanamke akileta pozi unaachana nae unasaka mwingine,Jee,unaweza susa kutafuta pesa?au unataka kusema kuwa ukiwa na mwanamke unauwezo wa kupata kila hitaji lako?They are not like money,na kuhusu kupenda watu ambao tayari wanamahusiano na wengine,hii ni njaa za akina dada wa siku hizi tuu, hawako na wala hawata kuwasawa na pesa hata siku moja!!
 
Hebu jaribu kuwa na demu aliyeolewa au ana Mchumba halafu akuambie kuwa ameachika utakavyoruka kimanga. Hata simu yake utakuwa hupokei maaana utajua kuwa mzigo wote utakuwa kwako. Hata demu nae anajua kuwa ukiwa na mke au mchumba huwezi kumbana sana- anakuwa huru kidogo kutoka kwenye kibano
 
Kwa mtindo huu ndio maana ukimwi hauishiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!
__________________

Pretty----------Kwa nini ukubali kama kweli uko serious na ndoa yako????
 
U said it well!
Wanaume ndio wamezidi kabisaaaaaaaaa.Wakiona mtu engaged tayari ndio wanamuona mzuri wakati yupo single walikuwa hawamuoni.Hovyo!
Zion daughter u've to get on board coz Zion train is comming on your way,Are you engaged?how many of them came after u?are you afraid?there is nothing to regret about it,coz it is the way it is,lazima iwe hivyo,kama mbwa akipendavyo kinywa cha chatu!!
 

Unazungumzia wanawake wa aina gani? Machangu?
 
mimi niliwahi kukaa single kwa miezi mitatu.....
nilipoanza kutafuta mwanamke wa kunifaa
nilisumbuka wiki tatu....
nilipompata niliemtaka.one week later nilikuwa
nina wengine kama wanne wako pending....wananisikilizia
women bana....
Mkuu hao ambao wako pending vipi?
 
kama nina mama kjjn na nahitaji kuongea nae je? halafu hawa wanawake wakuomba vitu kama credoo nao khaa, natamani niwape semina wawe wanawabomu viwanja na magari...

Wanaume tunaohonga viwanja na magari hapa mjini tuko wachache....! Kwa hiyo semina yako itatuletea usumbufu sana tafadhali naomba usifanye hivyo!
 


Hahahahahah!!! You have said it all.....you can say it again!
 
The boss uchunguzi wako unatisha kama mvua za elnino
lakini nadhani kama ni kweli kwa upande wa wanawake basi iko pande zote ..
Kwani hata nyie wanaume mkiona tu tayari fulani kamilikiwa mtajileta kwa kasi ya ajabu huku mkidai kama ningewahi mie jamani ungewkuwa my wife sijui kwa nini nimechelewa mie , kama vile ulivyokuwa single hakukuona hahahah
 

FL1 hata kutongoza nako ni sanaa....it's an art! Even cheating is an art too!!!! 🙂
 
hii inakua kwa wanaume walio na wapenzi, kuna kujiamini fulani kunakuwepo ukiwa na wanawake{hii inamanisha ukiwa na mwanamke halafu hujiamini hata hao wa nje hawatokupenda},lingine suala la kummiliki mwenza wako,hivyo hata mwingine atavutiwa na wewe kwa ajili unajua thamani ya mwanamke,lingine ni ukiwa uzitaki pesa sio rahisi ukazipata kwa wingi ila ukijiweka katika mazingira ya kutaka pesa utazipata kwa wingi{labda Mungu aamue lingine}nachoongelea hapa ni ile hali ya mtu kujiweka katika hali ya kuhitajika na kitu fulani. upande wa wanawake hapa ndo utakuta wanaume wenye kupenda vitu ambavyo tayari vimeundwa,wanapenda pale mwanamke anapopendeza tu,sababu nyingine ni kujiuliza uliza tu, aahhh fulani kanogewa nini pale? ngoja nione,ingine mwanamke anaweza kuonekana mgumu lakini mmoja akimpata wengine wanafikiria ahhhha kumbe anatongozeka, hizo ni baadhi ya sababu ambazo hadi sasa ndo naziona ila maoni yanakaribishwa
 
Lakini kuna wanaoamini eti anakuwa ameishajua mengi kwa hiyo unakuwa huna kazi unakuta barabara umeishafyekewa visiki ni kuteleza tu i.e they are "delicious" anakuwa mtamu kama ice cream. Kama kupigwa,kugeuzwa,matusi yote kamaliza sasa wewe ukiingia unakuwa mfalme/queen.This hold for both sexes. Mpate mwanaume aliyepigwa divorce utafikiri uko Zenji!-ahaaahaaaaaaaaa!
 
Kwa mtindo huu ndio maana ukimwi hauishiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!

Ni kweli kuna jamaa amespeshalaizi na wake wa watu au wale wenye wanaume zao, hachukuwi msichana kama hana bwana binafsi hunishangaza sijuwi anatumia chambo cha aina gani kuwaopowa?
 


ha ha ha.vipi kuhusu nini?
 

we umenielewa..
Good point.
 
Ni kweli kuna jamaa amespeshalaizi na wake wa watu au wale wenye wanaume zao, hachukuwi msichana kama hana bwana binafsi hunishangaza sijuwi anatumia chambo cha aina gani kuwaopowa?

Mwambie aende taratibu, mke wa mtu ni sumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…