Wanawake ni kweli huwa hampendani wenyewe kwa wenyewe?

Tuendelee kueleza uelewa wetu wakuu kwenye hili jambo
 
Ukitaka kuexperience hiki nenda kwenye nyumba za kupanga hasa zenye wapangaji wengi. Utaona vituko, kuna wengine wananunuana ukiuliza sababu alimnyima ufagio, wakati unaweza ukakuta mwenzake kwa kipindi hiko alikuwa anautumia.
 
Nimeshasikia hii, wakiwa wengi ni rahisi kugombana
 
Ngoja waje kukupa muongozo...

unnamed-1.jpg
unnamed.jpg

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom