Nimeshasikia hii, wakiwa wengi ni rahisi kugombanaUkitaka kuexperience hiki nenda kwenye nyumba za kupanga hasa zenye wapangaji wengi. Utaona vituko, kuna wengine wananunuana ukiuliza sababu alimnyima ufagio, wakati unaweza ukakuta mwenzake kwa kipindi hiko alikuwa anautumia.
Hii ni sababu pia. Mko very emotionalNadhani tuna mioyo mepesi tukipishana kdogo tu tunawekeana vinyongo na hatimae kugombana au kupotezeana
HujaulizwaSiku mtakayoacha kutuchanganya tutapendana..!!