Wanawake, ni kweli huwa mnafurahia mpenzi anapozama chumvini au wanaume wanajipendekeza na kuwasumbua tu?

Wa kwangu anapenda balaa, ila mpaka ninywe konyagi chupa lile kubwa ndio naweza kuzama, najifanya mwehu kabisa
 
Acha kabsa hyo tabia mrembo,waachie wengne, uwe unatumia maneno haya kuongea na watu : my,I love you,miss you.
Hebu Anza kupractice saiz kwangu nione Kama utaweza
Maan ya hayo maneno kwanzaa nambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…