Wanawake, ni kweli huwa mnafurahia mpenzi anapozama chumvini au wanaume wanajipendekeza na kuwasumbua tu?

Wanawake, ni kweli huwa mnafurahia mpenzi anapozama chumvini au wanaume wanajipendekeza na kuwasumbua tu?

Sitopenda kuweka ilo wazi boss ila sio salama kabisa kufanya oral sex na mtu usie mfahamu vizuri na asie msafi wa mwili na roho, raha ila siku ikishaleta madhara ni majuto na machozi.
Nmekupata boss
 
Sipendi aisee nishamkataza.....
Kwanza mkaka kama unamuelewa na mwili wako anauelewa kuloa sio kazi ngumu unless uwe tu huna morali 100%.
Mwenyewe tu siwezi jitia vidole nikalamba ndo nimlambishe mtoto wa mtu.
Wanaopenda na waendelee but mimi BIG NO. Sex ina maeneo mengi ya kuexplore
🤣😂
Eti kumlambisha mtoto wa mtu..
 
Back
Top Bottom