Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Hivi wewe unaakili kweli yaani hawafikirii mbele unamaanisha nini??? Wanaume ndo wanafikiria mbele huna lolote kwenda kule. Kazi umariooo ndo uko mbele wewe usijerudia tena
hawa videbwedo sijui wakoje ivi wangekuwa wamesimama kama tungekuwa hatufikiri mbele
Kumbe Dena Amsi ni she!!!
How did you know mkuu??
Kwa mara ya kwanza nakugongea thanks. Umesema ukweli
Kumbe Dena Amsi ni she!!!
Daaaah!!!!! Pori hili
Kiongozi angalia usipotoshe umma atii!Nightangale, heshima yako bibie nilikuwa mbado kujua kama wewe nawe ni mwanamke......usijali, baadhi yetu ndo hivyo tulivyo, stara imetupita mbali kweli..take it easy
Kiongozi angalia usipotoshe umma atii!
Mi na Dark City tunatetea haki za wote hasa kina mama.
Sasa jichunge na komenti zako zikiwa ofensivu tu nakuvaa.
Unatafuta nini huku wewe kajibu swali langu hukooooo
Pearl, umenifanya nicheke aisee duh! Hizi lawama za upande mmoja wakati mchezo tunafanya wawili haziniingii akilini.
Kama ni ujasiri basi tunao wote, kama ni uonga likewise.
Wakaka vipi mbona hapa mnawagaia wadada credo ki reeeree sana?
Kiongozi angalia usipotoshe umma atii!
Mi na Dark City tunatetea haki za wote hasa kina mama.
Sasa jichunge na komenti zako zikiwa ofensivu tu nakuvaa.
maono at work,,,,utaamini habari za mlimani sasa
Usanii mtupu
ila wanaume ndio wamezidi ujasili kwa kuparamia
Wapi tena huko sweet tea wangu
Usanii makes the world go (a)round
Kule kwenye taba
Umeonaeeeeeeeee