Wanawake ni majasiri

Wanawake ni majasiri

Hivi wewe unaakili kweli yaani hawafikirii mbele unamaanisha nini??? Wanaume ndo wanafikiria mbele huna lolote kwenda kule. Kazi umariooo ndo uko mbele wewe usijerudia tena

Kumbe Dena Amsi ni she!!!
 
Nightangale, heshima yako bibie nilikuwa mbado kujua kama wewe nawe ni mwanamke......usijali, baadhi yetu ndo hivyo tulivyo, stara imetupita mbali kweli..take it easy
Kiongozi angalia usipotoshe umma atii!
Mi na Dark City tunatetea haki za wote hasa kina mama.
Sasa jichunge na komenti zako zikiwa ofensivu tu nakuvaa.
 
Kiongozi angalia usipotoshe umma atii!
Mi na Dark City tunatetea haki za wote hasa kina mama.
Sasa jichunge na komenti zako zikiwa ofensivu tu nakuvaa.


hahahahaah nilikuwa nafatilia sehem sehem nikaona kuwa comments zimekaa mrengo wa hawa dada zetu, naona itabidi Invisible atuwekee kitufe cha jinsia sasa
 
Pearl, umenifanya nicheke aisee duh! Hizi lawama za upande mmoja wakati mchezo tunafanya wawili haziniingii akilini.
Kama ni ujasiri basi tunao wote, kama ni uonga likewise.
Wakaka vipi mbona hapa mnawagaia wadada credo ki reeeree sana?

Kiongozi angalia usipotoshe umma atii!
Mi na Dark City tunatetea haki za wote hasa kina mama.
Sasa jichunge na komenti zako zikiwa ofensivu tu nakuvaa.


ahahahaah nilikuwa nafatilia sehem sehem nikaona kuwa comments zimekaa mrengo wa hawa dada zetu, naona itabidi Invisible atuwekee kitufe cha jinsia sasa
 
ila wanaume ndio wamezidi ujasili kwa kuparamia
 
Back
Top Bottom