ndege joni
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 682
- 1,108
Imekuwa kawaida katika dunia ya leo kwa wasichana kuufaidi usichana bila kuangalia future yao. Wengi wamepoteza future zao kwa kujiona ni warembo sana na kujiona tayari wao ni watu maarufu (celebrities) na wanastahili kuepukwa na watu wa hali ya chini na kujiwekea vigezo na masharti ya nani anastahili na asiyestahili kuwa nae katika uhusiano, urafiki n.k.
Bila shaka wanaume wengi wamejikuta katika uhusiano wa kudumu hadi ndoa na wanawake wa kawaida sana au mahusiano ya muda mfupi na warembo wazuri kwa sababu ya uthamani waliojiwekea kiasi kwamba kuwa nae unahitaji kutumia gharama kubwa kuhudumia.
Wengine wamejikuta wakilaani ndoa kwa sababu zilezile na kuanzisha kampeni za KATAA NDOA, NI UTAPELI kwa sababu inawezekana kweli ni utapeli kuhudumia mwanamke aliyejiweka ni wa thamani sana.
Nimeandika haya kwa sababu hivi leo nimekutana na mwanamke ambaye nilikuwa nae kimahusiano mwaka 2015 alikuwa mrembo sana, sikuweza kuhudumia kwa sababu sikufikia vigezo vyake nikaamua kukaa pembeni. Nilivyomona nilipata jibu kumbe WANAWAKE NI MAUA HAYAKAWII KUNYAUKA, hata mvuto tena wa kujiposti mtandaoni kama ilivyokuwa kila siku post zaidi ya 5 facebook. Ilikuwa ni pambo ambalo akiwa mtandaoni ni wamoto haswa, ila kwa sasa uangavu wa sura, mvuto havipo tena.
Makunyanzi yameanza na sura ya huzuni ya kuzalishwa na mume wa mtu ambaye sidhani kama yupo karibu nae tena. Nimejiuliza sana hata akinipa mzigo naweza nishindwe kufanya nae mapenzi, kwa sababu siyo yule aliyeng'ara kila sehemu. In short NOT ATTRACTIVE