Wanawake ni maua na muda wake wa kunyauka haukawii kufika

Wanawake ni maua na muda wake wa kunyauka haukawii kufika

ndege joni

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
682
Reaction score
1,108
Imekuwa kawaida katika dunia ya leo kwa wasichana kuufaidi usichana bila kuangalia future yao. Wengi wamepoteza future zao kwa kujiona ni warembo sana na kujiona tayari wao ni watu maarufu (celebrities) na wanastahili kuepukwa na watu wa hali ya chini na kujiwekea vigezo na masharti ya nani anastahili na asiyestahili kuwa nae katika uhusiano, urafiki n.k.

Bila shaka wanaume wengi wamejikuta katika uhusiano wa kudumu hadi ndoa na wanawake wa kawaida sana au mahusiano ya muda mfupi na warembo wazuri kwa sababu ya uthamani waliojiwekea kiasi kwamba kuwa nae unahitaji kutumia gharama kubwa kuhudumia.

Wengine wamejikuta wakilaani ndoa kwa sababu zilezile na kuanzisha kampeni za KATAA NDOA, NI UTAPELI kwa sababu inawezekana kweli ni utapeli kuhudumia mwanamke aliyejiweka ni wa thamani sana.

Nimeandika haya kwa sababu hivi leo nimekutana na mwanamke ambaye nilikuwa nae kimahusiano mwaka 2015 alikuwa mrembo sana, sikuweza kuhudumia kwa sababu sikufikia vigezo vyake nikaamua kukaa pembeni. Nilivyomona nilipata jibu kumbe WANAWAKE NI MAUA HAYAKAWII KUNYAUKA, hata mvuto tena wa kujiposti mtandaoni kama ilivyokuwa kila siku post zaidi ya 5 facebook. Ilikuwa ni pambo ambalo akiwa mtandaoni ni wamoto haswa, ila kwa sasa uangavu wa sura, mvuto havipo tena.

Makunyanzi yameanza na sura ya huzuni ya kuzalishwa na mume wa mtu ambaye sidhani kama yupo karibu nae tena. Nimejiuliza sana hata akinipa mzigo naweza nishindwe kufanya nae mapenzi, kwa sababu siyo yule aliyeng'ara kila sehemu. In short NOT ATTRACTIVE
 
Aliimba professor Jay miaka ya 2000 mwanzoni

Binadamu ni kama maua kwani huchanua na kunyauka.

Na fedha ni kama shetani ukiwa nayo huwezi tukuka.

Dunia kizingiti yataka mkono wa Mungu kuvuka.
 
Wala hajachakaa basi tu hana mwanaume wa kumpa furaha akimpata wa kumpa furaha ni wiki moja tu utaanza kutuma vi sms vya ajabu.

N.b maua yananyauka yasipo mwagiliwa maji, yakimwagiliwa mbona balaa ndani ya wiki!

Ladies msimsikilize mleta mada, tunafubaa tukiwa na stress za mahusiano, akija mwanaume sahihi msasa mmoja kwisha stress.

N.b Dear ladies furaha unaitafuta mwenyewe usiingie mahusiano ambapo hupebdwi wala wewe hupapendi.
 
Makunyanzi yameanza na sura ya huzuni ya kuzalishwa na mume wa mtu ambaye sidhani kama yupo karibu nae tena.

Miaka hiyo alikuona takataka,labda kwa mambo ya kijingajinga. Na leo umekuwa lakini yale yale.
-Umejuaje kazaa na mme wa mtu?
-Kakwambia alibakwa,au hiari?
-Kaomba msaada? Umemsaidia hujamsaidia, hilo sisi linatusaidia nini!!! Alikuwa na haki kukupotezea, pamoja na kwamba mada yenyewe inaeleweka.

Nimejiuliza sana hata akinipa mzigo naweza nishindwe kufanya nae mapenzi, kwa sababu siyo yule aliyeng'ara kila sehemu. In short NOT ATTRACTIVE.

Ulipomuona tu, ngono, ngono!!!!!
Hahahahahahaha vijana wa siku hizi. Pengine alikukataa kwa tabia ambayo bado unayo. Je,una uhakika anaweza kukuvulia kweli,au unajifariji tu!!!
 
Wala hajachakaa basi tu hana mwanaume wa kumpa furaha akimpata wa kumpa furaha ni wiki moja tu utaanza kutuma vi sms vya ajabu.

N.b maua yananyauka yasipo mwagiliwa maji, yakimwagiliwa mbona balaa ndani ya wiki!

Ladies msimsikilize mleta mada, tunafubaa tukiwa na stress za mahusiano, akija mwanaume sahihi msasa mmoja kwisha stress.

N.b Dear ladies furaha unaitafuta mwenyewe usiingie mahusiano ambapo hupebdwi wala wewe hupapendi.
Aisee hukubaliani kabisa na uzee! Lkn mwanamke ni matunzo.

na stress management
 
Kwa mfano ukichukua mwanaume wa miaka 50 na mwanamke wa miaka 50 ni vitu viwili tofauti kabisa. Kinachobakia kama wameoana ni kuvumiliana tu.
 
Imekuwa kawaida katika dunia ya leo kwa wasichana kuufaidi usichana bila kuangalia future yao. Wengi wamepoteza future zao kwa kujiona ni warembo sana na kujiona tayari wao ni watu maarufu (celebrities) na wanastahili kuepukwa na watu wa hali ya chini na kujiwekea vigezo na masharti ya nani anastahili na asiyestahili kuwa nae katika uhusiano, urafiki n.k.

Bila shaka wanaume wengi wamejikuta katika uhusiano wa kudumu hadi ndoa na wanawake wa kawaida sana au mahusiano ya muda mfupi na warembo wazuri kwa sababu ya uthamani waliojiwekea kiasi kwamba kuwa nae unahitaji kutumia gharama kubwa kuhudumia.
Wengine wamejikuta wakilaani ndoa kwa sababu zilezile na kuanzisha kampeni za KATAA NDOA, NI UTAPELI kwa sababu inawezekana kweli ni utapeli kuhudumia mwanamke aliyejiweka ni wa thamani sana.

Nimeandika haya kwa sababu hivi leo nimekutana na mwanamke ambaye nilikuwa nae kimahusiano mwaka 2015 alikuwa mrembo sana, sikuweza kuhudumia kwa sababu sikufikia vigezo vyake nikaamua kukaa pembeni. Nilivyomona nilipata jibu kumbe WANAWAKE NI MAUA HAYAKAWII KUNYAUKA, hata mvuto tena wa kujiposti mtandaoni kama ilivyokuwa kila siku post zaidi ya 5 facebook. Ilikuwa ni pambo ambalo akiwa mtandaoni ni wamoto haswa, ila kwa sasa uangavu wa sura, mvuto havipo tena. Makunyanzi yameanza na sura ya huzuni ya kuzalishwa na mume wa mtu ambaye sidhani kama yupo karibu nae tena. Nimejiuliza sana hata akinipa mzigo naweza nishindwe kufanya nae mapenzi, kwa sababu siyo yule aliyeng'ara kila sehemu. In short NOT ATTRACTIVE
Mfano ni Wema pia. Kapotea.

Wahongaji wamemkimbia.
 
Back
Top Bottom