Wanawake ni maua na muda wake wa kunyauka haukawii kufika

Siwema mama yake alishindwa kumwandaa mapema awe kama kina Nancy sumari mwishowe akawaachia vijana Wakala na kujigaragazaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Angepewa taarifa hii mapema mkuu huenda angeshituka,nasikia siku hizi ajaribu kuongeza ukaribu wake zaidi na jamii ya mbwa?
 
Ingia kwenye Facebook yake chukua picha zake za zamani hata mbili kisha mtumie
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kila mtu anataka vitu vizuri Mkuu. Yeye aliona wewe huwezi kumpa hivyo vizuri ndio maana akaenda kwa mwengine.

ACHA KULALAMIKA UNAPOACHWA.

NB. JIPENDE MWENYEWE HUTOJUTA

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Siyo kila mahusiano yatakuwa ya kudumu na kuishia katika ndoa. Wakati mwingine watu wanakuja katika maisha yetu ili kutufundisha vitu fulani. Hata wale wanaotuumiza sana na kutuachia makovu moyoni ukichunguza vizuri ni lazima kuna funzo kubwa walilotuachia. Pengine tunapaswa kuwashukuru sana badala ya kufurahi tunapokutana nao maisha yakiwa yamewaelemea. Maisha haya hayana fundi ati!
 
Unajishangza we hujui kuwa Adui muombee njaa.

Hii ni kanuni ya kawaida hata kama.unajifanya wewe hauko hivyo.
 
Hiiiiiii bhagosha!
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Siwema mama yake alishindwa kumwandaa mapema awe kama kina Nancy sumari mwishowe akawaachia vijana Wakala na kujigaragazaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Vijana wa ovyo kabsaaa wamemkula dada wa watu wakamtupa kama Big G

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo angekukubali asingeota hayo makunyanzi๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Dada vipi mbona povu???
 
Sawa.

Yawezekana ungemuoa angekuwa amechakaa zaidi pia. Au yawezekana huko kuchakaa kuko kichwani mwako tu maana ndicho unatamani kitokee.
Wewe ndiye umefikiria vizuri kwa kuuona ukweli kuliko mtoa mada.
Maana yeye yupo mkusali dua la kuku tu, kumuombea mabaya yampate huyo mwanamke.

Mbona miye niliwahi kumpenda mama wa makamo kunizidi.

Kumbe sasa, kwa kauli ya mtoa mada, wanawake wakongwe hawawezi kupendwa, wakati watu wanawasorolea kama walivyo wasichana tu!

Ingawa vijana wenzangu walikuwa wakinambia... "Kulala na mwanamke alokuzidi umri ni sawa na kusoma gazeti la zamani", mf: la mwaka jana December uje kulisoma leo halafu ujidai kufuatilia matukio current affairs! ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†.
Mimi wala sikujali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ