Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Zile ndevu kuna namna akizitumia unainjoi mambo yenu 6×6Mimi nilikuwa sipendi kabisa mwanamume mwenye ndevu ... Ila kwa sababu nyinginezo.... Nipo na Mwenye ndevu za kutoooosha😂😋
Nimezoea Sasa.... Ila huwa namkumbusha kwenda barber shop mara kwa Mara😩😂