Wanawake: Ni ugaidi gani umewahi kumfanyia mwanaume na hutousahau?

Inevitable

Senior Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
123
Reaction score
319
Wakati wanaume wakitamba na ‘kula tunda kimasihara’, hawajui kuwa nao huwa wanapigwa matukio kimkakati na wanawake.

Kuna waliosingiziwa mimba - wakalea na kutoa matumizi miaka nenda rudi (na wengine hadi leo hawajui kuwa watoto sio wao); kuna waliotoa hela za misiba au ugonjwa usiokuwepo; kuna waliodanganywa kuwa ‘naumwa’ kumbe mtu katoka kupigwa show ya kibabe na show mbovu hataki tena; na mengine mengi.

Tumwagike hapa: Ni tukio gani umewahi kumpiga mwanaume na mpaka leo unalikumbuka?
 
Msipolitaja la"Kabla hujanioa alikuwa anakupakulia nani" nyinyi wanawake Fake 😂
 
Kuna mtu anaenda pigwa tukio soon,Dem wake anaeishi nae pika pakua next week anaenda kuolewa rasmi na jamaa mwingine na yeye katoa mchango pia bila kujua🙌🙌🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…