Wanawake ni usawa gani mnaoutaka?

Wanawake ni usawa gani mnaoutaka?

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Hapo kwa majirani Ukraine raia wanakimbia vita lakini wanaume kuanzia miaka 18 kwenda juu wanazuiliwa wasiondoke.

Wanawake na watoto kiulaini wanavuka boda kuingia Poland. Kama wanawake wanataka usawa kwanini wasibaki kupambana kama wanaume?

Beijing wanasemaje?
 
Hapo kwa majirani Ukraine raia wanakimbia vita lakini wanaume kuanzia miaka 18 kwenda juu wanazuiliwa wasiondoke. Wanawake na watoto kiulaini wanavuka boda kuingia Poland. Kama wanawake wanataka usawa kwanini wasibaki kupambana kama wanaume?
Beijing wanasemaje?
Tunataka tuwe juu
 
Mambo ya kutafuta usawa hua ni kelele tu za watu kutafuta nafasi za kupiga pesa kupitia vi-progamu vya uongo na kweli. MWANAUME na mWANAMKE haitatokea wakawa na usawa. Never
Wajanja wachache wanataka kula hela za wazungu kwa kupiga tantalila za hapa na pale za usawa
 
Mambo ya kutafuta usawa hua ni kelele tu za watu kutafuta nafasi za kupiga pesa kupitia vi-progamu vya uongo na kweli. MWANAUME na mWANAMKE haitatokea wakawa na usawa. Never
Huu ndio ukweli.
 
Wenyewe wanajiita superwoman, lakini hata kupiga ndege kwa manati wanaogopa achilia mbali kukanyaga mende.
 
Ke wanataka usawa wa "chako ni changu na changu ni changu kifedha tu" ila si kwa kila jambo kimaisha.
 
Back
Top Bottom