Wanawake ni usawa gani mnaoutaka?

Wanawake ni usawa gani mnaoutaka?

Hapo kwa majirani Ukraine raia wanakimbia vita lakini wanaume kuanzia miaka 18 kwenda juu wanazuiliwa wasiondoke.

Wanawake na watoto kiulaini wanavuka boda kuingia Poland. Kama wanawake wanataka usawa kwanini wasibaki kupambana kama wanaume?

Beijing wanasemaje?
Hawa utumiwaga na mashetani hili kuaribu taratibu za MUNGU alizozipanga hapa duniani
 
Back
Top Bottom