Ni kweli,wanawake wengine hovyo sana na hawana uaminifu.*MAZINGAOMBWE*
Man can do woman can do it beta hii jeuri sijui wanaitoa wapi wakati wakikojoa wanaweza kuandika hata jina lake chini si kila mwanamke anafa kuwa mkeo baada ya kutoka safarini kwa muda wa mwezi mmoja na kuendelea bila kukutana na mkeo\mpenzi wako ile unafika home Chukua simu ya mke\mpenzi wako
alafu mtumie meseji rafiki
yake andika "Daah eti ndio amerudi mda huu
best"...
jibu litakaro kuja. Utuambie hapa
N.b angalizo usije chukua karatasi na kalamu
ukaanza kuandika talaka*
Anythng ruhsa i am not perfect
Naona weekend imeshaanza mkuuMwanamke ni
Mama yako
Dada yako
Mke wako
Mtoto wako
Bibi yako
Shangazi yako
Binamu yako
Mpwa wako
Hebu tuanze na mama yako we dogo... Mama yako ni kiumbe cha ajabu???
Mama yangu mimi si kiumbe cha ajabu. Ni mama yangu, mwanamke mwema, mlezi mzuri, mwalimu wangu, mvumilivu na mwaminifu. Amenibeba tumboni miezi tisa na bado akanilea mpaka nimekuwa mtu mzima.
Ni kima tu au kenge asiye na adabu anayweza kumwita mama yangu "kiumbe cha ajabu". Kwa kuwa hawana akili.
Aisee... Zena ako wapi??Naona weekend imeshaanza mkuu
Zenaaaa.... nipe bili yangu