Kijana Jr
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 560
- 845
*MAZINGAOMBWE*
Man can do woman can do it beta hii jeuri sijui wanaitoa wapi wakati wakikojoa wanaweza kuandika hata jina lake chini si kila mwanamke anafa kuwa mkeo baada ya kutoka safarini kwa muda wa mwezi mmoja na kuendelea bila kukutana na mkeo\mpenzi wako ile unafika home Chukua simu ya mke\mpenzi wako
alafu mtumie meseji rafiki
yake andika "Daah eti ndio amerudi mda huu
best"...
jibu litakaro kuja. Utuambie hapa
N.b angalizo usije chukua karatasi na kalamu
ukaanza kuandika talaka*
Anythng ruhsa i am not perfect