Hiyo mbinu unayotumia kuacha pombe wala haifai na haipendezi, ati unakaa mbali na pombe! πNimeacha pombe jomba
Niko kwenye county down ya free from alcohol.
Jakuwa napata Kiu ila sirudu nyuma π
Sawa , kwa sasa nakunywa maji mengi sana.Acha hizo mimi nakula bia na kitimoto hapa
Sifanyi huo upuuziHakika , just imagine mtu anataka kuichakata bila hata zawadi
Habari ndo hiyo....π€£πππ
Kilichoniuma ni kwamba aliyekuwa anandesha ile bodaboda ni mchungaji aliyemshawishi aache pombe.
Jamaa yangu inasekana maisha unayo wenzio hata buku ya vocha wanakuwa wakali hatari π€£π€£π€£π€£Kulingana na uwezo , kwa uwezo wangu siwezi mwacha bila 100kπ
Hapo sina maoniHahaha, sisi tunatamba tu na bia bwashee π π π unaliongeleaje hili π€