Wanawake ni waathirika namba moja kwenye penzi

Wanawake ni waathirika namba moja kwenye penzi

Kwahiyo siku hizi mnanitag pamoja na emoji zangu? 😹😹

Huyo mgonjwa kwa sasa muacheni anywe maji ana dose..!!
Wee kurushwa na boda unafikiri mchezo? 😹
Tuna kupa na vitu vyako 😹😹
 
Yupo kwenye dose kwa muda baada ya ajali, akipona atawajoin hana jeuri ya kuacha pombe 😹
Hahhaha kwanza unaacha vipi pombe ?😅😅 unafunga mzigo wa vijora , faida milioni kwa siku kwa nini uache pombe 😅😅😅
 
Wao hawajioni kama ni waathirika wa mengi kati ya hayo uliyoyataja mkuu. Ndo maana hawatupigi risasi za vichwa au kutuua kwa mashoka tunapowatelekeza. Women handle stress better than us.
Kabisa na ndiomaana unaambiwa usishindane na mwanamke hao viumbe ni level nyingine bwa shee
 
Back
Top Bottom