Wanawake ni waathirika namba moja kwenye penzi

Kwahiyo siku hizi mnanitag pamoja na emoji zangu? 😹😹

Huyo mgonjwa kwa sasa muacheni anywe maji ana dose..!!
Wee kurushwa na boda unafikiri mchezo? 😹
Tuna kupa na vitu vyako 😹😹
 
Yupo kwenye dose kwa muda baada ya ajali, akipona atawajoin hana jeuri ya kuacha pombe 😹
Hahhaha kwanza unaacha vipi pombe ?πŸ˜…πŸ˜… unafunga mzigo wa vijora , faida milioni kwa siku kwa nini uache pombe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kabisa , hapo ndipo lilipo suluhisho kuu, sema nao vijana wa kiume kuna namna wanapaswa kufundishwa kuishi na wanawake wanaojitambua hasa kwetu afrika
Sisi waafrika tunajuana ni vile tu kuna baadhi ya wanajinsia wameamua kujitoa ufahamu.
 
Wao hawajioni kama ni waathirika wa mengi kati ya hayo uliyoyataja mkuu. Ndo maana hawatupigi risasi za vichwa au kutuua kwa mashoka tunapowatelekeza. Women handle stress better than us.
Kabisa na ndiomaana unaambiwa usishindane na mwanamke hao viumbe ni level nyingine bwa shee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…